Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

Niliwaambia ni jeuri ya pesa za sadaka ameshindwa kujizuia
Na waumini walivyo mazombie wanapiga makofi
Dogo hataki kujifunza kwa baba wake wa kiroho safi "Mwamposa" anavyonyamaza.
Mwamposa ana tabia za kitajiri na lazima afanikiwe hanaga majigambo wala kujibishana na hoja za wanaopiga mawe huduma yake aka dili lake.
Big up Mwamposa endelea kuzichanga
 
Wale matapeli wa mtandaoni ukishawajua ndio huwa wanapanic hivi. Hapo bado tu aanze kutukana matusi ya nguoni.

Tuwaombee watu wanaomuamini na kumuona kama msaada wao katika mambo ya kiroho.
​
 
Nachojua huyo amesoma SUA mambo maendeleo ya vijijini wanaita rural development.

Ni kijana anayejua kucheza na maneno hasa kutumia kiimgereza kiswa-English in preaching.

So the guy now is rich


Ila nasikia kuna biashara anayofanya na hiyo ndo inampatia ukwasi
 
Mtu yyte akibanwa mbavu anakimbilia kusema ana nyumba sjui magari , nyie mnakaa nyumba za kupanga na hamna magari , mara nyingi huyo mtu ametokea maisha ya kimaskini , jamaa na mke wake kutuambia kwamba gesi ikiisha anapuliza katuona Sisi matako Sana , ni manipulation statement Kwa wale wajinga wajinga wa kumezeshwa Imani ili watoe pesa za sadaka
 
Mtu yyte akibanwa mbavu anakimbilia kusema ana nyumba sjui magari , nyie mnakaa nyumba za kupanga na hamna magari , mara nyingi huyo mtu ametokea maisha ya kimaskini , jamaa na mke wake kutuambia kwamba gesi ikiisha anapuliza katuona Sisi matako Sana , ni manipulation statement Kwa wale wajinga wajinga wa kumezeshwa Imani ili watoe pesa
That's defensive mechanisms.

Badala akubali kuwa kaongea uongo na uhuni aombe msamaha ila anasema wanaomcheka hawana Nyumba wala Magari
 
Safi sana kapola wanyoosheee haoo wajing maana hawasikii
😄 na bado wanakuja tu

Ova
 
Back
Top Bottom