Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

Mtu yyte akibanwa mbavu anakimbilia kusema ana nyumba sjui magari , nyie mnakaa nyumba za kupanga na hamna magari , mara nyingi huyo mtu ametokea maisha ya kimaskini , jamaa na mke wake kutuambia kwamba gesi ikiisha anapuliza katuona Sisi matako Sana , ni manipulation statement Kwa wale wajinga wajinga wa kumezeshwa Imani ili watoe pesa za sadaka
Hata hivyo alikuwa anaongea na wajinga sio ninyi wenye akili
 
Nimekumbuka toka gesi imeisha mtungi uliwekwa store
Ngoja kesho niubebe nielekee kwa TK ukajazwe
Naona nibebe na rimoti ya luku
Msiomini shauri lenu
TimePhoto_20250809_103307 (1).jpg
 
Back
Top Bottom