Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Ameanza kufunua ujinga na utapeli mapema sana.View attachment 3436416
Maswali mengine
Utajiri wake unatokana na nini?
Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
Hata hivyo alikuwa anaongea na wajinga sio ninyi wenye akiliMtu yyte akibanwa mbavu anakimbilia kusema ana nyumba sjui magari , nyie mnakaa nyumba za kupanga na hamna magari , mara nyingi huyo mtu ametokea maisha ya kimaskini , jamaa na mke wake kutuambia kwamba gesi ikiisha anapuliza katuona Sisi matako Sana , ni manipulation statement Kwa wale wajinga wajinga wa kumezeshwa Imani ili watoe pesa za sadaka
Dogo kapanicππView attachment 3436416
Maswali mengine
Utajiri wake unatokana na nini?
Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?