Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
We bwege unajulikanaAlipendea na kina Sabaya, Polepole, Bashite n.k
We mla panya unapigwa🖕Kajinyonge basi au rudi kwenu Burundi
Kwa hiyo 2020 kwa namna CCM ilivyokuwa inakubalika ungepata hata kura wewe Mcdm?
Mzalendo wa afrika kama Sankara alikuwa anatembea na betri moyoni mwake. Na kwake yeye kuweza kuishi miaka zaidi ya kumi akiwa na kifaa hicho ni haki kabisa kusema Mungu apewe sifa.Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.
Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.
Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.
Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Akili yako haina tofaut na hayo mawe hapo...Are you stupid?
Vitisho na mabavu haviwezi kubadili nguvu ya umma. Umma ungeikataa CCM hakuna mtu angelazimisha.Unaposema ilikuwa inakubalika unadhani ukweli tulikuwa hatuujui, au unadhani vitisho na mabavu huwa vinafanya mtu akubalike? Hao walioagiza uchaguzi unajisiwe ukweli wote walikuwa wanaujua, na hata hizo kura chache zilizopigwa ukweli waliupata. Hiki sio kizazi cha wajinga, japo ni waoga.
Vitisho na mabavu haviwezi kubadili nguvu ya umma. Umma ungeikataa CCM hakuna mtu angelazimisha.
Uwe unamshukuru pia wanapozaliwa watoto wachanga na kufariki siku hiyo hiyo la sivyo huyo Mungu wako atakuwa ni wa matunguli, mahirizi na machale kila kona ya mwili wako.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Cheti fake spirit go on ,,,,Semeni ukweli tu alijitoa kwa ajili ya mafanikio yake na watu wa karibu yake.mifano ni mingi sana;ua wapinzani,ua demokrasia,jenga viwanja vya ndege kwenu,nyima vijana ajira ili wakusujudu.
Jishughulishe kusoma historia umsome Franklin Roosevelt alivyo boresha maisha ya wamarekan baada ya great economic depression.alivyotengeneza ajira kwa maelfu hadi akatawala vipindi vitatu.kisha ututolee huyo msukule hapa
Ule haukuwa uchaguzi, ulikuwa uchafuzi wa demokrasia.Wewe kushindwa uchaguzi ndio iwe sababu ya kuleta chuki za kipuuzi? Unadhani nguvu ya kura inashindwa kirahisi?
We nawe unastahili kujibiwa?Watanzania tuna ujinga mwingi kama huu wa mleta mada!! Hivi mtu katugawa kwa;
Ukanda.
Ukabila.
Uchama,
Kaibia wafugaji mifugo yake kupitia Luhanga mpina wakawa wanaisafirisha kwenda karagwe aliko pora launch ya Taifa.
Ameua watu, ametesa watu, ametuletea vilaza Bungeni kama Babu tale, mwana FA. Ametuletea majambazi kama sabaya+ makonda huo uzalendo ameutoa wapi??,Puuzi kubwa hili.
Huwezi kujibi maana yote yalitendeka hadharani!!We nawe unastahili kujibiwa?
Mbona wewe hukutekwa na kuuwawa hadharani? Au Ngo'ombe za baba yako zilichukuliwa kwa nguvu?Huwezi kujibi maana yote yalitendeka hadharani!!
UZALENDO MAANA YAKE NINI? LABDA MIMI SIELEWIThomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.
Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.
Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.
Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Mbona wewe hukutekwa na kuuwawa hadharani? Au Ngo'ombe za baba yako zilichukuliwa kwa nguvu
Inawezekana nilikwepa sana!! Jitu lina roho mbaya mpaka kwa ndugu zake, afu unakuta kapu Kama wewe unakuja na pambio za kusifia katili. Huyo jamaa yako huko anaugulia machozi ya kina Ben sa8, Azory, mama Kabendera, Aqwilina.Mbona wewe hukutekwa na kuuwawa hadharani? Au Ngo'ombe za baba yako zilichukuliwa kwa nguvu?
Weka ushahidi wako namna alivyofanya huu uhalifu.Inawezekana nilikwepa sana!! Jitu lina roho mbaya mpaka kwa ndugu zake, afu unakuta kapu Kama wewe unakuja na pambio za kusifia katili. Huyo jamaa yako huko anaugulia machozi ya kina Ben sa8, Azory, mama Kabendera, Aqwilina.
Hii ndiyo tabia ya mtu mshamba na aliyeishiwa hoja na mwenye akili mgando.We mla panya unapigwa[emoji867]
Hao wafuasi wa mwendazake wengi wao walitokea kwao Burundi.Msimsakame sana jamani.Atajinyea kwa hasira.