Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Kwa hiyo 2020 kwa namna CCM ilivyokuwa inakubalika ungepata hata kura wewe Mcdm?

Unaposema ilikuwa inakubalika unadhani ukweli tulikuwa hatuujui, au unadhani vitisho na mabavu huwa vinafanya mtu akubalike? Hao walioagiza uchaguzi unajisiwe ukweli wote walikuwa wanaujua, na hata hizo kura chache zilizopigwa ukweli waliupata. Hiki sio kizazi cha wajinga, japo ni waoga.
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Mzalendo wa afrika kama Sankara alikuwa anatembea na betri moyoni mwake. Na kwake yeye kuweza kuishi miaka zaidi ya kumi akiwa na kifaa hicho ni haki kabisa kusema Mungu apewe sifa.
 
Are you stupid?
Akili yako haina tofaut na hayo mawe hapo...

IMG_20220410_080202.jpg
 
Unaposema ilikuwa inakubalika unadhani ukweli tulikuwa hatuujui, au unadhani vitisho na mabavu huwa vinafanya mtu akubalike? Hao walioagiza uchaguzi unajisiwe ukweli wote walikuwa wanaujua, na hata hizo kura chache zilizopigwa ukweli waliupata. Hiki sio kizazi cha wajinga, japo ni waoga.
Vitisho na mabavu haviwezi kubadili nguvu ya umma. Umma ungeikataa CCM hakuna mtu angelazimisha.
 
Vitisho na mabavu haviwezi kubadili nguvu ya umma. Umma ungeikataa CCM hakuna mtu angelazimisha.

Nguvu ya umma sio kuandamana tu, hata idadi ndogo ya wapiga kura hiyo ni nguvu ya umma isiyoacha madhara kwa wananchi.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Uwe unamshukuru pia wanapozaliwa watoto wachanga na kufariki siku hiyo hiyo la sivyo huyo Mungu wako atakuwa ni wa matunguli, mahirizi na machale kila kona ya mwili wako.

Kifo ni siri ya Mungu pekee.
 
mwamba alijiwekea ulinzi mpaka wa helicopters lakini wapi sasa hivi hata hajui kama Kinana & Membe wana maamuzi muhimu Chamani
 
Semeni ukweli tu alijitoa kwa ajili ya mafanikio yake na watu wa karibu yake.mifano ni mingi sana;ua wapinzani,ua demokrasia,jenga viwanja vya ndege kwenu,nyima vijana ajira ili wakusujudu.

Jishughulishe kusoma historia umsome Franklin Roosevelt alivyo boresha maisha ya wamarekan baada ya great economic depression.alivyotengeneza ajira kwa maelfu hadi akatawala vipindi vitatu.kisha ututolee huyo msukule hapa
Cheti fake spirit go on ,,,,
 
Watanzania tuna ujinga mwingi kama huu wa mleta mada!! Hivi mtu katugawa kwa;

Ukanda.
Ukabila.
Uchama,
Kaibia wafugaji mifugo yao kupitia Luhanga mpina wakawa wanaisafirisha kwenda karagwe aliko pora launch ya Taifa.

Ameua watu, ametesa watu, ametuletea vilaza Bungeni kama Babu tale, mwana FA. Ametuletea majambazi kama sabaya+ makonda huo uzalendo ameutoa wapi??,Puuzi kubwa hili.
 
Watanzania tuna ujinga mwingi kama huu wa mleta mada!! Hivi mtu katugawa kwa;

Ukanda.
Ukabila.
Uchama,
Kaibia wafugaji mifugo yake kupitia Luhanga mpina wakawa wanaisafirisha kwenda karagwe aliko pora launch ya Taifa.

Ameua watu, ametesa watu, ametuletea vilaza Bungeni kama Babu tale, mwana FA. Ametuletea majambazi kama sabaya+ makonda huo uzalendo ameutoa wapi??,Puuzi kubwa hili.
We nawe unastahili kujibiwa?
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
UZALENDO MAANA YAKE NINI? LABDA MIMI SIELEWI
 
Mbona wewe hukutekwa na kuuwawa hadharani? Au Ngo'ombe za baba yako zilichukuliwa kwa nguvu

Mbona wewe hukutekwa na kuuwawa hadharani? Au Ngo'ombe za baba yako zilichukuliwa kwa nguvu?
Inawezekana nilikwepa sana!! Jitu lina roho mbaya mpaka kwa ndugu zake, afu unakuta kapu Kama wewe unakuja na pambio za kusifia katili. Huyo jamaa yako huko anaugulia machozi ya kina Ben sa8, Azory, mama Kabendera, Aqwilina.
 
Weka ushahidi wako namna alivyofanya huu uhalifu.
 
Back
Top Bottom