johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Covid 19 siyo ya kuidharau hasa inapokutana na JJ hukimbilia ubongoni by USA!Hiki anachofanya Zitto, is not right at all, hata kama ni kweli, huwezi kumtuhumu mtu asiyeweza kujitetea kwa tuhuma nzito hivi, naona sasa Zitto anaitafuta karma fulani hivi.. ambayo... halafu ikitokea, bado watu watajifanya kushangaa kama ilivyotokea kwa naniliu !.
P
Utakuwa ulizaliwa miezi 6 kabla miezi 9 kukamilika ndio maana una utapia mlo wa akiliUnaonaje lile jini baada ya kuondoka mnavyoinjoi maisha?
Magaidi ndani ya lupango maisha safi
kama inauma chomoaUtakuwa ulizaliwa miezi 6 kabla miezi 9 kukamilika ndio maana una utapia mlo wa akili
Ule ushauri mliompa magufuli amuuwe Lisu ndipo mlipoanza kumjengea chuki magufuliWe jamaa una chuki sana na hayati JPM hujathibitisha madai ya Zitto na unaanza kubwabwaja.
Akitoboa hatakuwa kasema kweli au?Zitto acha upumbavu yatosha sasa,mwache Marehemu apumzike,nakuambia Kama Ni kweli uyasemayo uko heri,lakini Kama umetumwa au unatafuta umaarufu wa kisiasa 2022 hutoboi.
Dont trust Zito
Hilo lipo wazi.kama unachoma viumbe hai huku vinalia utashindwa kuchoma miti au nyumba?Inawezekana kabisa ,kama Juzi kiongozi wa TAKUKURU Arusha alisema Sabaya alikuwa na kukundi cha ujambazi Arusha ,na walikuwa wakitumia majina feki kupora Arusha ,we unadhani magufuli alikuwa hajui? Hata sabaya alisema alikuwa anatumwa na mamlaka ya uteuzi ,Sasa unashangaa nini zitto kusema hivo
Watu wa vyeti feki mnamatatizo sana. Basi endeleeni na uhayawani wa kufikiri kufoji vyetu ndo mpate huruma ya serikali.Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.
Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.
MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.
Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
Nahisi yule baba alimchinja Ben Saa8 kwa mikono yake mifupiIla kwa roho ya yule bwana ,mimi siwezi pinga yote yaliwezekana kwake
Unajua maana ya kuabudu we mbwiga ?Mpumbavu ni wewe unayemwabudu Mwendazake
Mbona Magufuri kawatesa Sana hao magaidi. Kavunja bilcanass, kaharibu shamba lake nkKabisa mkuu!
Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!
Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!
Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.