Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Hiki anachofanya Zitto, is not right at all, hata kama ni kweli, huwezi kumtuhumu mtu asiyeweza kujitetea kwa tuhuma nzito hivi, naona sasa Zitto anaitafuta karma fulani hivi.. ambayo... halafu ikitokea, bado watu watajifanya kushangaa kama ilivyotokea kwa naniliu !.
P
Covid 19 siyo ya kuidharau hasa inapokutana na JJ hukimbilia ubongoni by USA!
 
Inawezekana kabisa ,kama Juzi kiongozi wa TAKUKURU Arusha alisema Sabaya alikuwa na kukundi cha ujambazi Arusha ,na walikuwa wakitumia majina feki kupora Arusha ,we unadhani magufuli alikuwa hajui? Hata sabaya alisema alikuwa anatumwa na mamlaka ya uteuzi ,Sasa unashangaa nini zitto kusema hivo
 
3039709_Screenshot_20211219-210132.png
Dont trust Zito
 
Inawezekana kabisa ,kama Juzi kiongozi wa TAKUKURU Arusha alisema Sabaya alikuwa na kukundi cha ujambazi Arusha ,na walikuwa wakitumia majina feki kupora Arusha ,we unadhani magufuli alikuwa hajui? Hata sabaya alisema alikuwa anatumwa na mamlaka ya uteuzi ,Sasa unashangaa nini zitto kusema hivo
Hilo lipo wazi.kama unachoma viumbe hai huku vinalia utashindwa kuchoma miti au nyumba?
 
Zitto kuna nyakati na mkubali, ila kuna nyakati huwa simuelewi kabisa.

Yani Rais amtume mtu aje kuchoma shamba lako!?

Mbona haini ingii hakilini?

Alafu cha kushangaza mtu huyo asitekeleze amri ya Rais!?

Zitto hapo umetombesha maneno, sikubaliani na maneno yako.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona sasa amefunga akaunti., anachagua watu wa kukoment ujinha wake. Linafiki sana.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
Watu wa vyeti feki mnamatatizo sana. Basi endeleeni na uhayawani wa kufikiri kufoji vyetu ndo mpate huruma ya serikali.
 
Ila kwa roho ya yule bwana ,mimi siwezi pinga yote yaliwezekana kwake
 
Yule baba alipanga kutenda maovu mpaka saa ya kifo chake
 
Kabisa mkuu!

Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!

Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!

Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.
Mbona Magufuri kawatesa Sana hao magaidi. Kavunja bilcanass, kaharibu shamba lake nk
 
Back
Top Bottom