Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?

Vipi yaliyofanyika utawala wa Kikwete, Mwinyi, Mkapa,Nyerere.

Yapo Madai mengi tu zama zingine, zote, uwezo wako tu kufikiri, Kutambua, kujitambua.
 
Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
Ni UPUMBAVU KILA SIKU KUWAZA UPUMBAVU.
ACHA UPUMBAVU WEWE.
 
Kwenye hili namuunga mkono zitto, ni kweli jiwe alikuwa ni mnyama na katili kweli kweli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kumtaa haraka haraka kabla aja umiza watu wengi zaidi..
Wazazi wako wamekufa mapema hata hujaanza shule, je nao walikuwa wanyama katili, mpaka Mungu kuwachukua mapema ?
 
Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
We jamaa una chuki sana na hayati JPM hujathibitisha madai ya Zitto na unaanza kubwabwaja.
 
Kwaiyo huyo kijana alikutana na Magufuli njian ndo wakamtuma akachome shamba?
Unajuaje Kama walikutana njiani...!? Usirahisishe Mambo.

Namshangaa Mtanzania wa kawaida anayeshangazwa na kuchomwa kwa Nyumba ya Zitto na Mikoroshi, kitu ambacho si Jambo kubwa, kulinganisha na kupigwa risasi Lissu au kupotea kwa Ben Saa nane.

Mambo mengi ya kuumiza watu wenye mawazo tofauti yamefanyika Nyuma ya Pazia kwenye Utawala wa mwendazake!
 
Yule HAYAWNI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
Na lile lafa ngese linaloshikishwa ukuta kule ubeleji lenyewe mtalizika lini?
 
Kwenye hili namuunga mkono zitto, ni kweli jiwe alikuwa ni mnyama na katili kweli kweli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kumtaa haraka haraka kabla aja umiza watu wengi zaidi..
lakini si huwa mnasema bayana zitto haaminiki,

Kwahyo leo na kwa hili ndio zitto ameaminika!
halaf baada ya kauli hii anaendelea na maisha yake ya kutoaminika.
 
Watu wanapaswa waseme, ili watulize mioyo yao. Nani anafikiri chini ya Magu 7ya angeshitakika? Licha ya uovu wote wa 7ya, leo angekuwa RC mkoa fulani, hivyo maovu yake Magu aliyajua na hatua akuchukuwa! Nani alimtuma?
 
3039709_Screenshot_20211219-210132.png

Yani Magufuli amemtuma a mere kijana asiye chochote Kwa ajili ya chochote.
 
Ni hivi kuchoma mikorosho ni Rais kuamua tu kwa katiba yetu ya sasa. Had i kuua, kufunga, negative publicity.

Kufanya uharibifu Kwa maigizo ya public support kunaweza mfanya rais akafanya hivyo na kujificha.
 
Back
Top Bottom