Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Vipi yaliyofanyika utawala wa Kikwete, Mwinyi, Mkapa,Nyerere.

Yapo Madai mengi tu zama zingine, zote, uwezo wako tu kufikiri, Kutambua, kujitambua.
Yaweke hapa tuyapime. Siyo kuongea kama kasuku tu.

Kwa taarifa yako unyama uliofanywa na Magufuli ni kiwango cha akina IDDI AMINI
 
Kwa hadhi ya Rais anaweza kumtuma kijana wa mtaani kwenda kufanya uhalifu? Zitto anaelekea kuehuka.

Watu Kama Wakina Sabaya Wanatofauti Gani Na Vijana Wa Mtaani? Meko Alikuwa Anamiliki Genge Kubwa La Wahuni,
Angalia Watu Waliokuwa Wamemzunguka Ndo Utajua
 
Zitto anajua kucheza na akili za ma master wake...

Hapo anajua atalipwa nini..

Kuna wakati alisema "Magufuli alinichukia" sasa nikajiuliza ulitaka akupende kama nani?

Yaani Magufuli angempenda Zitto ndio nchi ingepata maendeleo?

Zitto anajitahidi kuwafurahisha ma sponsor wake.
 
Kwenye hili namuunga mkono zitto, ni kweli jiwe alikuwa ni mnyama na katili kweli kweli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kumtaa haraka haraka kabla aja umiza watu wengi zaidi..
Mbona alikataa kuwa lile sio shamba lake?
 
Zitto acha upumbavu yatosha sasa,mwache Marehemu apumzike,nakuambia Kama Ni kweli uyasemayo uko heri,lakini Kama umetumwa au unatafuta umaarufu wa kisiasa 2022 hutoboi.
 
High level of Insanity continues. That’s highest level of stupidity Zitto and politicians of his caliber have recently continue to emerge.

Tuwapuuuze wapumbavu hawa ssmpuli ya zito smbao wameibuka ktk nchi yetu miaka ya karibuni. Mfano wa hovyo kabisa Bulembo and team.

Rais akiamua kuchoma mikorosho angeshindwa kweli?

Wana fikiria kwa kumzushia marehemu Na kutunga uongo Watanzania tutawaonea huruma Na kuwapandisha hadhi .

Sasa nimejua kwanini chadema wanamuita zito mnafiki..
Tabia za marehemu kipindi cha uhai wake zinaweka mianya ya "kuzushiwa".
 
Kwenye hili namuunga mkono zitto, ni kweli jiwe alikuwa ni mnyama na katili kweli kweli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kumtaa haraka haraka kabla aja umiza watu wengi zaidi..
Nimekumbuka yule boss wa Wizara ya fedha alie uwawa kifedhuli na akina Kingai kuonekana kajinyonga shambani kwake Bashite alikuwa kiongozi
 
High level of Insanity continues. That’s highest level of stupidity Zitto and politicians of his caliber have recently continue to emerge.

Tuwapuuuze wapumbavu hawa ssmpuli ya zito smbao wameibuka ktk nchi yetu miaka ya karibuni. Mfano wa hovyo kabisa Bulembo and team.

Rais akiamua kuchoma mikorosho angeshindwa kweli?

Wana fikiria kwa kumzushia marehemu Na kutunga uongo Watanzania tutawaonea huruma Na kuwapandisha hadhi .

Sasa nimejua kwanini chadema wanamuita zito mnafiki..
Nyumba ilichomwa haikuchomwa..???
 
Mpaka amguse mtu wako ndio utambue unafiki wake?Zitto ni mnafiki tangu azaliwe
 
Laana ya Mbowe imeanza kumtafuna!

Anataka kujifichia kwa hayati!
Kwa suala la Mbowe apambane na Hali yake, lakini Kwa Magufuli kuchoma shamba la Mtu sishangai!! Yule bwana roho yake ingeweza kufanya chochote anapogundua humkubali.
 
3039709_Screenshot_20211219-210132.png
Hiki anachofanya Zitto, is not right at all, hata kama ni kweli, huwezi kumtuhumu mtu asiyeweza kujitetea kwa tuhuma nzito hivi, naona sasa Zitto anaitafuta karma fulani hivi.. ambayo... halafu ikitokea, bado watu watajifanya kushangaa kama ilivyotokea kwa naniliu !.
P
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom