Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Yaweke hapa tuyapime. Siyo kuongea kama kasuku tu.Vipi yaliyofanyika utawala wa Kikwete, Mwinyi, Mkapa,Nyerere.
Yapo Madai mengi tu zama zingine, zote, uwezo wako tu kufikiri, Kutambua, kujitambua.
Kwa taarifa yako unyama uliofanywa na Magufuli ni kiwango cha akina IDDI AMINI