Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

Siamini kama yeye mwenyewe ndo kasema hayo maneno.

Nadhani ni watu tu huko kwenye mitandao wameamua kumuwekea maneno mdomoni.
 
Looh! kiasi kikizidi sana nalo ni tatizo. msomi huyu hakupima uelewa wa anaowaandikia/walengwa wa tamko lako. ngoja mimi kwa hili nikubali kuwa mmoja wa wale 4:1 kwa mujibu wa kale ka utafiti.
Ule utafiti ni kwa hapa Tz tu ndugu
 
aya moja, sentensi mbili, maneno sitini na sita!! Yaani hata kuzisoma hizo sentensi mbili zinawasha!!
 
Umetisha mkuuu [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ndipo waafrica wanapokuwa useless baada ya kupata elimu. Km Mugabe kasoma sana,kaona vitu vingi,ila kachagua kuwa trick boy.
 
Duh hata Google wamechemka!hatari hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…