Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

mbona kama baadhi ya maneno google imeyashindwa.?
 
Kweli mkuu huu mmea ni mzuri ila watu kama hawa ndio wanafanya huu mmea uonekane siyo. HAYA SIO MATUMIZI SAHIHI YA BANGI, kuna procedure kaacha.
Procedure ipi hio?
 
Ha ha ha ha!!!
 
Huyu ni msomi uchwara!Msomi wa wa kweli kama anataka ku-impact knowledge kwa audience yake anatumia lugha rahisi ili wasikilizaji au wasomaji wake waweze kumuelewa.Maneno mengine ambayo ameyatumia pamoja na kujua kingereza vizuri lazima nikiri kwamba sijawahi kuyasukia.Inawezekana ni mnyumbulisho wake binafsi.
 
Miafrika akili zetu wote tunafana. Kila mahali ukienda akili ni zile zile, waliosoma na wasiosoma. Ujinga, ujinga mtindo mmoja.
 
This is a confused professor, you can read his mind from the way he expresses himself.
 
Exactly professor
Hata mimi imeniuma sana kuondokewa na viongozi wastaafu wawili kwa wakati mmoja R.I.P Sitta & Mungai nimekusoma vizuri sana msomi mwenzangu.
Eeeeeeh.......R.I.P
 
Sasa mmeshindwa kuelewa nini hapo ? Prof anaongelea kupwa na kujaa kwa maji baharini kitu cha grade 5 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…