Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Habarini Wakuu,
WCB is a really music classic group currently, ni kundi ambalo linafanya vizuri mpaka mtu unaogopa hata kuwadis wanamuziki wake kama si kuona aibu kuwaongelea negatively...kwasababu utachekwa na wengi tena sio wabongo tu.
Miongoni mwa sababu kubwa ya wao kufanya vizuri ni Utaalam, Utundu na Uwezo wa Producer makini Laizer.
Diamond huwa anaona sana Fursa.
Diamond ndio alimwomba Laizer awe producer wake wakati alipokutana naye Kigoma, wakati huo Laizer akiproduce local musics za kimanyema, lakini zaidi akifanya kazi zake nzuri sana huko Burundi.
-Nimemsikiliza jamaa akihojiwa kwenye mtandao wa www.perfect255 jamaa hana matambo na makuu na anajieleza vizuri kweli.
-Ni producer yupi kwasasa utamlinganisha na huyu Laizer? Kwasababu kina Nisher naona washapotezwa kabisa na hata Director Hanscana hasikiki kivile tena.
■ Miongoni mwa kazi zake hatari ni
-Matatizo-Harmonize
-Kwetu-Raymond
-Sugu-Raymond na
-Inde ya Dully Sykes na Harmonize.
Pongezi nyingi kwa huyu dogo.