Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

Ana tuzo gani mpaka sasa?

Watu washaga achana na habari za tuzo. By the way hakuna tuzo siku hizi Bongo. Labda unazungumzia tuzo za nje huko!
Ambazo hakuna producer yoyote Bongo alishawahi kuchukua.

Kifupi tu achana na habari za tuzo kwa music industry ya sasa! Utaonekana mshamba kuliko 2016 blaza Extrovert
 
Achana na kushinda tu nomination je?? Maan mwaka jana kimambo na kizzy walau walionekana japokuwa hawakushinda
 
Achana na kushinda tu nomination je?? Maan mwaka jana kimambo na kizzy walau walionekana japokuwa hawakushinda
hii hapa afrimma nomination za mwaka jana
 
Attachments

  • Screenshot_20200813-223318.png
    Screenshot_20200813-223318.png
    29 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200813-223318.png
    Screenshot_20200813-223318.png
    29 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200813-223318.png
    Screenshot_20200813-223318.png
    29 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200813-223318.png
    Screenshot_20200813-223318.png
    29 KB · Views: 2
Ametengeneza hit nyingi tu. Kwa ngwaru
Inama
Sikomi
Mwanza, the one,teamo,n.k
Mwanza hajaitengeneza kaifanyiaa vocaling na mastering beat akitengeneza Black Q, teamo hajitengeneza kaitengeneza Gachi B (jina lake sijui kama nimelipatia ndiye ia aliyetengeneza naogoapa), teamo hajaitengeneza kaiengeneza huyo huyo Gachi B. Ndiyo maana nakwambia kwasasa hits nyingi beat wanatengeneza wengine yeye anafanya vocaling. Diamond mwenyewe mara nyingi yuko kwa S2kizzy
 
s2kizzy anatumika sana kwenye nyimbo za amsha amsha ila nyingine kama za kusikiliza Mf.teamo,gere n.k anatengeneza lizer
 
Attachments

  • Screenshot_20200814-090144.png
    Screenshot_20200814-090144.png
    87.5 KB · Views: 3
s2kizzy anatumika sana kwenye nyimbo za amsha amsha ila nyingine kama za kusikiliza Mf.teamo,gere n.k anatengeneza lizer
Nyimbo nyingine kazitengeneza Black Q, laizer anajua sana nyibo za mahadhi ya pwani kama za Zucchu na nyombonyingine kazitengeneza gachu B. Watu wanahama hama maana utakuta nyimbo zinafanana wasipofanya hivyo
 
Uyo Laizer namuona pang'ang'a producer tu...hamna la maana hapo! Mabiti yake yote mabovu utadhani nyimbo za ma undeground. Kimsingi naona anasafiria nyota ya blaza mondi tu.
Producer mukaree ni luffa tu kwa sasa.
Luffa angekua mkali asingekua anatimuliwa kila studio anayoenda.

Lyzer toka 2015 mpaka Leo yupo mainstream
 
Back
Top Bottom