mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Mkuu kwani namsingizia kuwa Beat zake Hazina matarumbeta kama tupo harusini?!Daah ila inashangaza jamaa unamwita Matarumbeta ila kazi zake zinakubalika kwenye jamii na zinahit haswaa.View attachment 440909
na hakuna sehemu ambayo nimesema kuwa jamaa kazi zake hazi-hit mtaani ila lazima ujue kazi ya msanii ku-hit kuna mambo mengi nyuma yake sio producer peke yake.
Ipo wazi labda uwe mbishi tu jamaa uwezo wake ni kawaida mno zaidi ni kuwa anafanya kazi na diamond na hiko ndio kinachomuweka juu.
Ila dogo agusi kabisa level za Mr.T touch au hata Bob Manecky kama unabisha sikiliza ngoma ya Juma Jux Wivu utaelewa zaidi.