Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

Kama Una sikio la muziki utajua tu kuwa hata huyo T-Touch ameingiza vionjo vya wimbo wa AY na Diamond-Zigo kwenye wimbo wa Darasa pia humohumo ametumia vionjo vya wimbo wa Maria Salome ambazo ni WCB Copy.Ametupoteza kidogo kwa kutupia vionjo vya Raga ambavyo pia ukivisikiliza vinarudi kwenye kamatia chini ya Navykenzo.Hakuna jipya chini ya jua.
Hatum-jaji T Touch kwa wimbo mmoja kwanza ujue ilo.

Kingine Salome ile beat sio beat ya Laizer ilo ujue.

Na nyimbo za Raga zipo nyingi so beat kuwa ya Raga kama ya Kamatia chini haifanyi beat au producer kuwa mbovu.

Kinachosemwa hapa ni kuwa Beat za Laizer zote zinafanyika Vionjo vya matarumbeta...unadhani iko ni kitu sahihi kwa producer mchanga kama yeye anayetafuta njia za kutoboa?!

Na kwanini tupe sababu kwanini tusiamini kuwa jamaa hana kitu anatembelea nyota ya Diamond kama ilivyokuwa kwa Shedy Clever enzi zile?!
 
Nisher na Hanscana unatuchanganyia masusu kwa sisi wanyakyusa, mavi ya kuku maana Hao ni video Directors na sio Audio producers
 
Mleta uzi naona kama umepotoka kidogo, bora hata ungesema C9 kuliko huyu
 
Nisher na Hanscana unatuchanganyia masusu kwa sisi wanyakyusa, mavi ya kuku maana Hao ni video Directors na sio Audio producers
Hivi wewe unajitambua?

NISHER (Mtoto wa Geor Davie) ni producer na ameshatengeneza ngoma nyingi tu. Na hata alishapewa Award, google utamsikia.

HANSCANA ni video director, na hakuna mahali nimesema ni Producer.

Kama nimesema ni producer hebu nioneshe ni wapi?
 
Mr.T Touch katisha sana kwenye Ngoma ya Darassa ft Ben Po-Muziki
Na Tud Thomas._kwenye Ngoma ya Lover boy ya Barnaber...
Wamekamua mbaya
Ndo Ngoma zangu bora Mwaka huu.
 
Sina jazba...nashangaa unavyo ponda kazi za watu...wakati hatusikii kazi zako
Sasa mimi kama sio Producer naanzaje kutengeneza Mziki?!

kwa hiyo wewe huwezi kuona mapungufu ya kazi ya mtu mpaka wewe uwe unaifanya hiyo kazi?!

Unataka kusema hujawahi kumkosoa yule jamaa wa magogoni vipi wewe ushawahi kuwa Raisi wa nchi gani?

Punguza jazba huwezi kuwa bora kama hukosolewi....hao wakina Messi na Ronaldo kila siku wanakosolewa hata hao Wanamuziki wakubwa duniani huwa wanakosolewa ije kuwa huyo kipenzi chako kwani yeye nani?!

Punguza jazba bwana Laizer na ukubali changamoto kama utaki kukosolewa kaa ghetto kwangu pika wali maharage kule uone kama watu tutakuja kukukosoa.
 
Hivi wewe unajitambua?

NISHER (Mtoto wa Geor Davie) ni producer na ameshatengeneza ngoma nyingi tu. Na hata alishapewa Award, google utamsikia.

HANSCANA ni video director, na hakuna mahali nimesema ni Producer.

Kama nimesema ni producer hebu nioneshe ni wapi?
Khaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] hujui Nisher kuwa nae ni video director mamaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa wewe kama sio producer unawezaje kucomment kitu ambacho sio proffesion yako....hata wangekuja ma producer wasingesema hivyo..wangeshauri nini kifanyike..mkuu...afu unajibu kama mtoto wa kike....jifunze kuandika vizuri...na heshimu kazi za watu
We kweli Kweupee kabisa.

Uzuri tunawajua misukule wa Madale ni watu wa namna gani hatupati shida na nyie.

Maana akili zako zinakwambia kuwa huwezi kukosoa kitu unachokiona hakipo sawa mpaka na wewe uwe unafanya iko kitu.

Ule uchunguzi kwenye kila wanne mmoja kichaa nina uhakika ulikuhusisha wewe.
 
"-Ni producer yupi kwasasa utamlinganisha na huyu Laizer? Kwasababu kina Nisher naona washapotezwa kabisa na hata Director Hanscana hasikiki kivile tena."



Daaah!! Hahahaha Mimi tu ndo Sijaelewa au
 
Habarini Wakuu,

WCB is a really music classic group currently, ni kundi ambalo linafanya vizuri mpaka mtu unaogopa hata kuwadis wanamuziki wake kama si kuona aibu kuwaongelea negatively...kwasababu utachekwa na wengi tena sio wabongo tu.

Miongoni mwa sababu kubwa ya wao kufanya vizuri ni Utaalam, Utundu na Uwezo wa Producer makini Laizer.

Diamond huwa anaona sana Fursa.

Diamond ndio alimwomba Laizer awe producer wake wakati alipokutana naye Kigoma, wakati huo Laizer akiproduce local musics za kimanyema, lakini zaidi akifanya kazi zake nzuri sana huko Burundi.

-Nimemsikiliza jamaa akihojiwa kwenye mtandao wa www.perfect255 jamaa hana matambo na makuu na anajieleza vizuri kweli.

-Ni producer yupi kwasasa utamlinganisha na huyu Laizer? Kwasababu kina Nisher naona washapotezwa kabisa na hata Director Hanscana hasikiki kivile tena.

■ Miongoni mwa kazi zake hatari ni

-Matatizo-Harmonize
-Kwetu-Raymond
-Sugu-Raymond na
-Inde ya Dully Sykes na Harmonize.

Pongezi nyingi kwa huyu dogo.
Wasenge Classic Baby
 
Uyo Laizer namuona pang'ang'a producer tu...hamna la maana hapo! Mabiti yake yote mabovu utadhani nyimbo za ma undeground. Kimsingi naona anasafiria nyota ya blaza mondi tu.
Producer mukaree ni luffa tu kwa sasa.

4 years ago. Bado una mentality ya kishamba kuhusu Laizer? Jamaa yuko juu kuliko kipindi chochote
 
Back
Top Bottom