Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

Daah ila inashangaza jamaa unamwita Matarumbeta ila kazi zake zinakubalika kwenye jamii na zinahit haswaa.View attachment 440909
Mkuu kwani namsingizia kuwa Beat zake Hazina matarumbeta kama tupo harusini?!

na hakuna sehemu ambayo nimesema kuwa jamaa kazi zake hazi-hit mtaani ila lazima ujue kazi ya msanii ku-hit kuna mambo mengi nyuma yake sio producer peke yake.

Ipo wazi labda uwe mbishi tu jamaa uwezo wake ni kawaida mno zaidi ni kuwa anafanya kazi na diamond na hiko ndio kinachomuweka juu.

Ila dogo agusi kabisa level za Mr.T touch au hata Bob Manecky kama unabisha sikiliza ngoma ya Juma Jux Wivu utaelewa zaidi.
 
Nisha nae ni Producer?
Yea Nisher ni Producer mkuu...na kule ndipo alipoanza ila kwenye video ndio kumempa jina zaidi.

Ngoma yake ya mwisho kufanya inaitwa Bendera ya chuma ambayo alifanya Fid Q.
 
Unakili wewe wambie wakupe soda Mr T touch kweli ni Technical touch hakosei touch matatu sasa msikilize darasa hatariiii
 
Hawezi gusa huko....bado mdogo sana katika ideas za kutengeneza Good Music...........Kuna wataalamu kama Nahreel.....Tud....Ima.....T-Touch.....Man Water.......Hawa ni baadhi tu ya maproducer wa muda wote............
 
Kwenye Ngoma nyingi za Wcb hizo za Laizer kuna uhariri wa Tud ndio sound Engineer wa wasafi;huyo dogo bado kuwafunika akina Tudy
 
Kwenye Ngoma nyingi za Wcb hizo za Laizer kuna uhariri wa Tud ndio sound Engineer wa wasafi;huyo dogo bado kuwafunika akina Tudy
Okey kama kuna joint nzuri kama hizo......Hakuna shida......washirikiane vyema......MUZIK inakua.............
 
Nisher na hanscana c madirecter wanaingiaje hapo kwa produser jamani bt jamaa anatembelea nyota ya wasafi,WCB hata upige marimba watu wataimba2 ila kiboko yao ni IMA the boy
 
Hamna kitu huyo sema ww ni shabiki wa wcb ndio maana unataka wote tuwakubali hao wcb narudia tena hamna producer hapo
 
Nisher na hanscana c madirecter wanaingiaje hapo kwa produser jamani bt jamaa anatembelea nyota ya wasafi,WCB hata upige marimba watu wataimba2 ila kiboko yao ni IMA the boy
Nisher ni Producer

Hanscana ni Music Director

Wewe ni wa wapi?
 
Kuna mmoja huyo dogo yuko A town kundi jipya na geni, producer mpya kabisa kundi linaitwa TAMSNATION
Dogo wanajua sana producer mkali kuna ngoma kapiga yenye genre ya rock sema haiijawa released ningewatupia naimani wakisikika tuu ni mwendo wa lami.
 
Nisher ni producer...competitor wa Laizer hata kama hajatangaza

Hanscana alikuwa ni director wa kuitwa itwa na kusifiwa kwa kiila track ya Diamond ila sikuhiz ni Laizer tuu

Ujui ulisemalo tofautisha kwanza Music Producer na video Directors afu uje uendeleze sifa zako kwa huyu lizer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…