Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

2015-2016
1. nah real
2. mr t touch
3. marco chali
4. messein selekta
5. abby daby
6. duke touch
7. man water
8. tongwe record
9. tuddy thomas
10. shedy clever
 
Hawezi gusa huko....bado mdogo sana katika ideas za kutengeneza Good Music...........Kuna wataalamu kama Nahreel.....Tud....Ima.....T-Touch.....Man Water.......Hawa ni baadhi tu ya maproducer wa muda wote............
hapo sawa umewatendea haki....
 
2015-2016
1. nah real
2. mr t touch
3. marco chali
4. messein selekta
5. abby daby
6. duke touch
7. man water
8. tongwe record
9. tuddy thomas
10. shedy clever
kama uko kwenye akili yangu......i feel so good....yeyeehhh...
 
Nilikuwa sijasikia wimbo wa kokolo, nimeusikia leo napenda kusema shikamoo rich na mavoko.
Na beat ya laizer na habdad kwakweli ni balaa tupu yani imachezeka safi sana
 
Kama Una sikio la muziki utajua tu kuwa hata huyo T-Touch ameingiza vionjo vya wimbo wa AY na Diamond-Zigo kwenye wimbo wa Darasa pia humohumo ametumia vionjo vya wimbo wa Maria Salome ambazo ni WCB Copy.Ametupoteza kidogo kwa kutupia vionjo vya Raga ambavyo pia ukivisikiliza vinarudi kwenye kamatia chini ya Navykenzo.Hakuna jipya chini ya jua.
 
2015-2016
1. nah real
2. mr t touch
3. marco chali
4. messein selekta
5. abby daby
6. duke touch
7. man water
8. tongwe record
9. tuddy thomas
10. shedy clever
Tongwe Record ni producer gani?
 
Ni kweli mkuu...hadi aibu kuusikiliza huu wimbo hasa mwanzoni.
 
ujajipanga kutoa post inaonekana uwafahamu ma producer na wanao shuti pole sana kwa post yko ya mwendo kasi.
 
na wimbo wa zigo umefanywa na nah real pamoja hammy b
 
Uyo Laizer namuona pang'ang'a producer tu...hamna la maana hapo! Mabiti yake yote mabovu utadhani nyimbo za ma undeground. Kimsingi naona anasafiria nyota ya blaza mondi tu.
Producer mukaree ni luffa tu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…