Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Hili ni zao la UMISETA akitokea Buhangija Sekondari Shinyanga, wakati huo mpinzani wake mkuu akiwa Nteze John Lungu wa Buluba Sekondari. Kuwatazama hawa vijana wawili aakichezea timu tofauti ilikuwa burudani.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Kuna Hussein Aman Marsha, Hamis Tobias "Gaga". Wengi sana
 
Hao ndiyo wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…