Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Hili ni zao la UMISETA akitokea Buhangija Sekondari Shinyanga, wakati huo mpinzani wake mkuu akiwa Nteze John Lungu wa Buluba Sekondari. Kuwatazama hawa vijana wawili aakichezea timu tofauti ilikuwa burudani.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Tatizo la watoto Wa siku hizi wanadhani wachezaji Wa zamani hawakiwa na uwezo kwa sababu wengi wao hawakufanikiwa kwenda nje, Mimi nimeangalia ligi ya tz tangu mwaka 1990 (sio kusikiliza)....nakwambia inawezekana wachezaji Wa tz hawakufanikiwa kucheza ulaya kwa sababu ya kukosa exposure na bahati..lakini nakuhakikishia tz kumepita vipaji vya hali ya juu na kama wachezaji Wa kipindi kile wangekuwa wanacheza sasa hivi,tungekuwa na akina Samata zaidi ya 20, to be honest tangu nianze kuangalia mpira Wa tz, edibil lunyamila ni no 1 sijamuona zaidi yake...bahati mbaya cleap za video hazipo

17 PHD these are results
Kuna Hussein Aman Marsha, Hamis Tobias "Gaga". Wengi sana
 
Waganda hawawezi kumsahau Lunyamila...Moja ya mawinga bora Afrika ishawahi kuwa nao...

Halafu kuna wakati alipata timu Ujerumani, lakini mechi ya Simba na Yanga ilimpotezea hiyo nafasi maana alitoroka huko ughaibuni kabla ya kusaini ili tu arudi kuichezea Yanga...
Hao ndiyo wazalendo
 
Back
Top Bottom