DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #21
Ila Sasa baada ya zile harakat za ugomvi ugomvi kuisha.
Dogo akamuomba dada ake arudi hostel ili apate MDA wa kujisomea vizur na wenzie maana uku mitaani anakosa KABISA utulivu. Dada ake kanishirikisha. Namimi nikaafiki,
MAANA pia nikaona ile Ni advantage nzur sana kwangu kua namchakata Dogo kwa Uhuru uko mitaani kuliko vile alivokua anaishi pale pale kwa dada ake. KUJIBANA KUNAKUA KWINGI MNO.
Basi maisha yanaendelea nikiwa nakula dada na mdg wake kisiri siri. Ila Sasa Dogo nae akawa Kam vile kazidisha mahaba Kwangu akawa ananiletea habar za kutaka kuzaa na Mimi, nikawa namkwepa kwa style ile ile nnayomkwepea dada ake TUSIZAE.
Hapo Sasa bajeti zangu zikawa zinanibana sana kuwabalance kuwahudumia wote wawili, uku bado na familia yangu nayo inahitaji matunzo.
Nikawaza, Uyu dada mtu ni mwenye kazi nikawa namhesabia posho ya meza elfu 5 kila siku, Dogo Nikawa nampa posho ya ya elfu 10 maana dogo yy Hana kazi na bado anasoma.
Dada mtu akaanza kunung'unika kua simjali sikuhizi,
nikamwambia
" Wee Hali ya uchumi ni ngumu ibajeti buku 5 hivo hivo. UPUUZ upuuz wako na yule mwalimu wako mpumbav mwenzako ndo umeniyumbishia mtaji wangu. Ongezea na posho yako ya KAZIni uishi"
Akawa kakubali hivo hivo ila kishingo upande.
Basi Tukaenda, kwa utulivu Sana Kama miez 3 mbele mahaba yakawa yamerejea upya kwa dada mtu.
Dada mtu akarudi kwenye performance yake ya mwanzo,
Dogo mtu nikawa simfurahii sana Kama nilivokua namfurahia sana dada mtu Kunako 6×6.
Mahaba yakawa Kama yamerudi upya.
Baadae kdg yule boda boda alonitaftia nyumba, Akanambia kuna jamaa anauza pagale lake la vyumba viwili na sebule Bei ya kutupa sana mitaa ile Ile sio mbali Sana na alikopanga mchepuko wangu uyo. Kama vipi nilinunue nikarabati niuze kwa faida.
Akanipeleka nikaliona.
Akilini Nikawaza hivi nikilinunua nikalimalizia si itanipunguzia hizi gharama za kodi nnazolipa hapa kwa mchepuko?[emoji848]
Basi nikamshirikisha, akafurahi Sana.
Akanambia nifanye hima nilipie lisije chukuliwa na mwingine.
Basi kweli nikaenda lipia Lile pagale cash Kisha nikawaita mafundi wangu waanze kulikarabati kuinua kozi za juu ya linta na kumodify ramani ile.
Ikabaki kufunika juu na finishing.
Basi nikamwambia mchepuko kua huko kwenye finishing na kufunika ntakufanya ntakapotoka Safar, maana Hapa katkat nnasafar ya kwenda kupakia mzgo wa dukan.
Kwaiyo kwenye Oda ya mzigo wang wa dukan ntajumuisha material zote za finishing na kufunika. Mzigo wote utakuja kwa pamoja.
Akawa kabisha kua anahamu ya kuhamia HARAKA HARAKA. Kama vipi yeye aanze kukarabati kwa Ela yake kidg kidg.
Nikamwambia sijakuruhusu. Unisubir mpk nirudi
Basi kazi ikawa imesimama saiti, nikamuachia Ela ya kula ya wiki 2 70,000 Kisha nikaenda zangu Safar.
Sasa kwa kung'ang'ania kwake yule mwanamke siku moja nikiwa safari fundi wangu Akanambia kua mwanamke yule leo kaleta tripu 2 za mchanga saiti.
Nikamwambia Kodi Gari nyingine ikasombe mchanga ule ukamwagwe kwa mchepuko, Sitaki kuukuta saiti wala utumike saiti kwangu.
Fundi akafanya hivo.
(Hapa nilikataa asichangie CHOCHOTE maksudi maana akichangia chochote kesho hachelewi kunigeuka Kama alivonigeuka siku ile kwenye Kodi. NISHAPATA FUNZO)
Inaendelea......