Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Eti eeh haya bhana, Kila mtu yuko huru humu kumuamini umtakae mi nimechagua kumuamini yeye km ulivyosema nimepatikana😂
Nakutakia mafanikio mema maana ni yako ila usije kulalamika kama wale wa Forex tuliwaonya lakini sikio la kufa!
 
Yani wanavyomwandama. Sasa atatubebea wapi si wote...kwenye kirikuu auu alphard maana si kwa lele lele hzoo
Oh cheza na wavulana anaweza kula hata 10 kwa siku maana ni mwendo wa jogoo
 
Naona umepatikana! Binti Nadhani humu ndani kuna wale waliosoma vitabu vya David G. Maillu. Vitabu kama After four thirty, son of a woman nakadhalika. Nakumbuka Nyerere alivipiga marufuku ila wakati wa balehe tulikuwa tunavisoma na wakati huo tukivisoma ni ccm juu tu hadi tunajichafua. Hii story ni ya kusadikika na kama Watu8 alivyotuasa anatafuta Wanawake wahanga ili apate k za bure humu JF. Hakuna mhanga anayeweza kutamka kuwa anasaka k za bure! Kazi kwako
Boss, NARUDIA TENA ieleweke vizur.

Siko kiivyo unavonifikiria,
Mimi Sio Domo zege eti nizunguke kote uko nijitese niandike nyuz ndefu et lengo kumtega&kumnasa Mwanamke wa jf.
(Nkihitaji namtongoza straight na sipepesi)
.
Kingine,
Mi Sina haja ya mwanamke kwasasa, Wala sina njaa ya ya K ya bure kuokoteza humu
(Niliko always Nna uhakika wa goodsex[emoji4])

Ningekua wa hivyo miaka yote Niko humu jf ningewashatongoza sana wadada wa humu.

Na Honestly sijawahi tongoza hata mmojawapo humu, hata kwa bahat mbaya.
(kama yupo ajitokeze hadharan hata saivi)

Japo KE wengi Sana humu tunafahamiana sana Hadi uku mtaani kwenye maisha ya kawaida.

Nawachukulia
Ni just marafiki wa kawaida tu tuloshibana sana humu, ni Kama vile TU marafiki tunokutanaga nao bar hatujuani kiundan ila tunabadilishana mawili matatu na kufurahi pamoja[emoji4].

TAKE EASY BROTHER, Be positive.[emoji4]

SIO KILA MWANAUME anaeanzisha uzi wa mapenz humu MMU yupo KWA AJILI YA kusaka Mpenzi[emoji4]
 
Kuna watu wengine Sijui wameumbwaje?[emoji848]

Hii Ni NON-SENSE kabisa,
Mtu mzima na akili zako kichwani, unasimama hadharani unauonea wivu Uzi[emoji4]

TENA Unashikilia bango kabisa na kuonesha wazi kabisa kuonesha wazi unachukizwa, umefura husda kifuani kwa maandishi tu yalowekwa mtandaoni[emoji4]
 
Can you imagine Kuna mtu uko aliko anaumia sana kuona Kuna Uzi huu unavotrend na watu wanafurahi[emoji4]

Can you imagine Kuna mtu uko aliko anamuwazia mabaya sn mleta uzi wakti hata hamjui kiundani[emoji4]

Can you imagine, Kuna mtu uko aliko hata hajui Uzi huu umesaidia wangapi hasa kwny maswala mazima ya mahusiano.[emoji4]

Kiukweli,
YAANI NI CHUKI JUU YA CHUKI na kiroho Cha kwanini[emoji4]

Yaan Hapo ndo Utaamini Kuna wachawi wengine wanazaliwa,
yaan Ni NATURALLY anazaliwa anaroho ya uchawi ndani yake[emoji4]

Ni AKIBOOSTIWA KIDOGO tu, anapaa kabisa[emoji4]

Tuendelee kufurahi bhana,Iyo Ni changamsha Genge bhana[emoji4].

Hili Ni Jiwe Gizani[emoji109][emoji4]
 
achana nao chief...sisi Me wenzako unatu inspaya[emoji23][emoji23][emoji23] achana na wapuuzi wachache

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yuko fresh, Ni Mambo ya jumuiya Zaid maana alofiwa Ni mwanajumuia mwwnzao [emoji4]
Kwahiyo hizo siku 3 ndiyo zinakupa muda wa kuwa na hawara kwa raha zako, angalia zisije haribu kila kitu, unazani huyo mchepuko atakuachia tu thubutu! Ila hongera raha jipe mwenyewe!
 
Never[emoji4]
Never nini! Limbwata linachemka tu humo tumboni soon utahamia huko! [emoji3][emoji3] Hivi wakati unamuuliza yupo wapi! Hapo alijiandaa kuwa lazima utaenda tu hivyo haikuwa bahati mbaya kumkuta vile! Mzalishe nayeye ndiyo utajua!
 
Back
Top Bottom