Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Basi pilika pilika za kila Mara kwenda polisi, upelelezi na kuwafatilia wezi wale, kusafirisha na kuzika msiba wa mlinzi wangu.
Bas nikakosa utulivu kisaikolijia. Hivyo almost wiki 2 zote zile tukawa hatuwasiliani kabisa. Niko bize na ishu za zangu.

Baada ya kutulia nikaamua kumpigia Simu kumjulia hali,
Akaikata na kunitumia ujumbe.
"Yaan wee mwanaume unaroho mbaya Sana, umenikosesha ile fremu Sasa unanitafuta wa Nini Sasa"

Nikamwambia
" pokea sim kwanza tuongee kwanza"

Basi nikapiga akapokea nikamwambia
"Hivi Kwan mi na wee tuna ugomvi? Ni halali Unaleta habar za kuniomba Ela wkt unajua kabisa ndo nmetoka kuibiwa. Ulishindwa nn kunisubiri nitulize Akili ndo uniletee hizo habar zako?"

Akasema,
"Kwan hizi habar za frem sinilishakwambia mapema, hii ilkua Ni dharura mweyewe alkua na shida ?
Istoshe wee mwenyewe si ndo ulniambia MDA wowote nikipata fremu Ela iko tayar nikwambie?
Sasa kuibiwa kwako kunahusiana vipi na bajeti ya fremu langu maana mi najua tayar ilkua ndani ya bajeti yako na halihusiani kabisa na kuibiwa kwako.
Kuibiwa uliibiwa usiku wake, Ila iyo Ela bajeti yake ilkuepo benki MDA mrefu. Sasa nakuelewaje mimi"

Nikamwambia,
"Kwaiyo Mimi kuibiwa dukan kwangu haikuhusu sio? Hivi unajua kwamba Ela ya kula unayopewa kila siku inatoka hapo hapo dukan nilikoibiwa. Aisee Wee mwanamke Ni mbinafs na una roho mbaya Sana."

Akasema,
"Yaan mi kukwambia ukweli nishakua na roho mbaya? Basi sawa Kama nna roho mbaya niache ukatafte hao wenye roho nzuri. Kwani nmekung'ang'ania?"

Nikasema "sawa" Kisha nikakata Simu.
Na kiukweli nilimchukia Sana mwanamke Yule, na kukubaliana kiroho Safi na uamuz wake wa TUACHANE.

Tulikaa almost wiki hatuna mawasiliano, siku moja Sina hili Wala Lile ikaingia namba mpya inapiga.
Nikapokea na kuuliza "Nani"
Akasema "mimi rose, shemej ako kwa Jacky nilikua nakusalimia"

Nikasema,
"sawa, chuo unaendeleaje uko?"

Akasema
"naendelea vizur, msimu wa test huu ndo zimetubana ndo maana sijaja uko kuwaona. nilikua nakusalimu shem angu na pole sana nakuibiwa dukani, dada alnambia"

Nikasema,
"Asante Nishapoa, kawaida tu Iyo ni mitihani ya dunia."

Akasema,
"Aya pole, mi nilikua nakusalimu"
Basi tukaagana, akakata simu ikawa imeisha ivyo.

Baada hapo ikawa kila Mara mdogo wake ananitumia sms zakunijulia Hali, nyingine nazijibu, nyingine nazipotezea TU sababu ya ubize na kutokujali Sana.

Siku moja kanipigia akiniomba nimsaidie ela kidg akanunue dawa,
Nikamuuliza "kwani unaumwa Nini?"
Akasema, "tumbo"
Nikauliza "kwani linaumaje?"
Akasema "hapa chini ya kitovu"

Basi kwa Akili ya kawaida nikajua uyu atakua kaingia blidi, anataka Ela ya pedi
Nikamjibu "Kwann usimwambie dada ako mbona, Hilo naona liko ndani ya uwezo wa dada ako, SI umwambie TU akusaidie. Au unamuogopa?"

Akasema,
"Hamna shemej, nmeshaogea na dada yee ndo kasema nikwambie wewe. Yeye hana Ela kabisa. Kasimamishwa kazi wiki ilopita."

Nikamuuliza,
"Kwani ulkua unahitaj Kia's gan?"

Akasema "elfu 50"

Basi Pale pale nikamfanyia muamala wa elfu 50 NMB-TiGO PESA

Akanitaarifu na kunishukru.
Kesho yake nikaona kanichek wasap na kanipigia picha ya daftar la vipimo na dawa alizoandikiwa wasap.

Nikagundua kumbe alkua anasumbua U.T.I na sio blidi Kama nilivowaza mwanzo. Basi ikawa imeisha ivo.

Inaendelea....
Iyo ni roho pana
 
Hapo kuna mawili yaweza kuwa mwanaume hayuko sawa kumfurahisha mkewe. Yaani anamaliza haraka bila kumvutia subira mkewe amalize. Na ndio kachoka anakoroma huko hana mpango tena
 
Sina aibu hataaa, hoja yangu ni kuchapana masaa sita, hizo nguvu nazitoa wapi na umri huu[emoji23] huyu mwamba amepewa nguvu sio poa!
Unafel mwamba unatakiwa kumuchakata mwanamke hadi anaanza kuuogopa mtula[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mwemwambia mtu aliwah kojoa 6 kwa round za juu kwa juu bila kutoa anashangaa..
Ukitaka kutoa anapiga yoweeeee
Dahh ila mfamasia wangu popote ulipo wewe ni mtaaaaaaaaaamu
Najua huwa unapita hapa na ukiunganisha matukio utanijua tu.
Mkeo Ana bahati sana.
Najuta I sku kukudindia ulipotaka mzigoo mwaka jana...
Najua ipo siku tutakumbushia tuu...usiogope utamu wangu ni ule ule..[emoji119][emoji119]
Ngoja njipange.
Shubaaamiti!! Kuna mchepuko niliwahi kuuambia ukininyima mbususu nakuacha hakuamini siku alinipimia eti kanipa kamoja tu amechoka hataki tena. Ndipo alipo jua mimi napenda nini kwake akaona nimechuna 1 week kwanini asinitafute. Nikamwambia nishakuonya sitaki upuuzi wako mara baby sitarudia nikaenda nikawa najitombea tu bila shida
 
Huu uzi sijui nilikuwa wapi?

Daah mwamba huna update yoyote kuhusu kumfanyia unyama mwingi?
 
Back
Top Bottom