Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Unajua uyu mwanamke hata simpendi kivile Kama nnavompenda wife wang, ndo maana akizingua Namimi namzingua vile vile.

Sema kwenye suala la sex nmeshindwa kabisa kumpata mbadala wake.

She's very special in this area.
Sijui hata nielezeje niweze eleweka mkuu.

Kuna MDA namzingua kwelikweli na nasema apa tunaachana, ila nnapokua na nyege mtu wa kwanza kumuwazia Ni yeye.

Ndo maana Kuna MDA kweli naona napoteza Sana pesa&muda sn kwake,

ila akili inanambia nichukulie POA TU maana sijapata bado mbadala wake.
Ila Akipatikana mi napiga chini fasta.

Ngoja niendelee kukimbizana na uyu uyu msumbufu wangu mkuu, tutanyooshana hivo hivo mpk kitakapoeleweka uko mbele ya Safar.
Ww mkeo humpendi ww ni kijana wa hovyo muhunu tuu eti sex ndo ikupeleke kwa mwanamke na umri wote uwo bado sex inakuchanganya vijana wadogo nd0 huchanganyikiwa na sex sio ww mtu mzima ila mwisho wako mbaya sana mzee kuwa makini usicheze na wanawake...
 
[emoji117]
soudybrown._~p~CZthDB2sofT~1.jpg
 
Pacha Pa kunoga unapajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuliza ball kwan, pale kati patamu bhana, au unajisahaulisha.
Pacha nina hasira sana na huyu mkuu...haiwezekani anapoteza hela kwa michepuko daily wakati kila siku wanae wa damu tunawanunulia vitumbua pale kinyerezi 😄😄
 
Huyo mwanamke hakupendi hata kidogo ila anapenda pesa zako. Majuto mkuu yanakuja. Shauri zako
 
Uyo mwanamke hakufai na Hana shukrani....Achana nae anakutumia kama kitega uchumi tu hakupendi Ata kidogo.
 
Uyo mwanamke hakufai na Hana shukrani....Achana nae anakutumia kama kitega uchumi tu hakupendi Ata kidogo.
Unaongea nn ujaona uzi aliyopandisha huyu jamaa siku ya Valentine mamb ya kiwaki aliyoyafanya sijui anatafuta nn ktk papuchi za ndugu moja
 
Back
Top Bottom