Huyu Mchezaji Hafai, na Ataenda Motoni kwa Dhambi hii. Subirini tu muone

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo.
.
Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza kukudanganya anataka kufunga kumbe anatoa pass afunge mwingine.

Ni muongo. Jamaa yangu siku moja alikuwa anaangalia mpira anamwangalia Chama. Akasema kumbe kucheza mpira ni jambo rahjsi sana. Nikamuuliza kwa nini. Akasema mwangalie Chama anavyocheza. Hamna ugumu. Nikamwambia huyu jamaa usimwamini hata kidogo. Ni mwongo sana. Akabisha.

Nikaja mwonesha anavyocheza Aziz Ki. Akakubali akasema kama unataka jifunza kucheza mpira Chama siyo mwalimu mzuri. Atakudanganya....anaufanya mpira kuwa ni jambo jepesi sana. Ukimuangalia Aziz Ki unagundua mpira si jambo jepesi kama anavyoonesha Chama.

Chama bishoo....anacheza Dont Touch me. Tucheze mpira. Anatema kushoto anafukia kulia. Anaenda mbele hatua tatu anarudi nyuma moja. Jamaa huwez mwelewa. Anatizama kulia anapita kushoto.
.
Jamaa mwili unaenda kushoto miguu inaenda kulia. Yaani si mchezaji wa kumwamini. Ni muongo tu. Hana lolote. Mchezaji anakuwa muongo mpaka basi. Si mfano wa kuiga kwa wachezaji chipukizi. Anawadanganya wataona mpira ni jambo jepesi kumbe si kweli.

Chama hawezi kwenda Mbinguni kama asipoacha huu uchezaji wake. Hawezi. Mi nawaambia kabisa. Sababu ni muongo.
 
wachezaji wa kigeni bora kuwahi kuwaona kwenye hii ligi ya kwetu mimi ni Chama, Okwi na Sakho.
mayele anataakiwa arudushwe Congo mpaka azaliwe mkabaji mzuri maana mpaka sasa hajazaliwa wakumkaba.

alafu hatujamtuma apige hati tiriki watanzania tuna ukarimu kupiga mgeni kipigo cha mbwa koko sio kaliba yetu.
kwaniaba ya watanzania wazalendo tunamuomba mayele aache ukattili hautamfikisha popote.

na aache uzalilishaji wakutesa wenzake waone Mpira ni uzalilishaji Aishi manula Aishi kwa amani akisikia jina la mayele..
 
Kiungo mwenye spidi ya konokono ambaye hucheza vizuri akikutana na vitimu vidogo. Pale anapokutana na timu zinazo eleweka uwa hajulikani kama yupo uwanjani.
Kwa hiyo Amakhosi Kaizer Chief ni timu ndogo
As Vita ya Ibenge ni timu ndogo
Nkana ya Walter Bwalya ni timu ndogo
Plateau ni timu ndogo
Al Ahly ya ni timu ndogo??
 
mayele anataakiwa arudushwe Congo mpaka azaliwe mkabaji mzuri maana mpaka sasa hajazaliwa wakumkaba.

alafu hatujamtuma apige hati tiriki watanzania tuna ukarimu kupiga mgeni kipigo cha mbwa koko sio kaliba yetu.
kwaniaba ya watanzania wazalendo tunamuomba mayele aache ukattili hautamfikisha popote.

na aache uzalilishaji wakutesa wenzake waone Mpira ni uzalilishaji Aishi manula Aishi kwa amani akisikia jina la mayele..
Alimaliza ligi akiwa kinara?
 
Mayele mchawi tu anafunga magoli ya ajabuajabu tu ila hana maajabu mguuni
 
Makolo bwana wakishinda wanasifia kitu ambacho ni jambo zuri ila mkufungwa hawa wachezaji mnaanza kuwatukana.

Chama ni mchezaji mzuri kweli ila tunawaomba msianze kumuwekea mizani na Aziz Ki huyu dogo muacheni msianze kum pressure.

Nasubiri mkipoteana sijui mtaanza ku organize maandamano tena
 
Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo.
.
Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza kukudanganya anataka kufunga kumbe anatoa pass afunge mwingine.

Ni muongo. Jamaa yangu siku moja alikuwa anaangalia mpira anamwangalia Chama. Akasema kumbe kucheza mpira ni jambo rahjsi sana. Nikamuuliza kwa nini. Akasema mwangalie Chama anavyocheza. Hamna ugumu. Nikamwambia huyu jamaa usimwamini hata kidogo. Ni mwongo sana. Akabisha.

Nikaja mwonesha anavyocheza Aziz Ki. Akakubali akasema kama unataka jifunza kucheza mpira Chama siyo mwalimu mzuri. Atakudanganya....anaufanya mpira kuwa ni jambo jepesi sana. Ukimuangalia Aziz Ki unagundua mpira si jambo jepesi kama anavyoonesha Chama.

Chama bishoo....anacheza Dont Touch me. Tucheze mpira. Anatema kushoto anafukia kulia. Anaenda mbele hatua tatu anarudi nyuma moja. Jamaa huwez mwelewa. Anatizama kulia anapita kushoto.
.
Jamaa mwili unaenda kushoto miguu inaenda kulia. Yaani si mchezaji wa kumwamini. Ni muongo tu. Hana lolote. Mchezaji anakuwa muongo mpaka basi. Si mfano wa kuiga kwa wachezaji chipukizi. Anawadanganya wataona mpira ni jambo jepesi kumbe si kweli.

Chama hawezi kwenda Mbinguni kama asipoacha huu uchezaji wake. Hawezi. Mi nawaambia kabisa. Sababu ni muongo.
Kwa sifa hizi ulizommwagia Chama, Makolo wangekuwa wanapata ushindi kwa [emoji817].
 
Alafu wanataka atoe jasho kwenye game ya kichawi , watu wanagoma kupita geti kubwa mara wanaruka ukutaa🤣🤣🤣

Professionally, pitieni geti kubwa na acheni uchawi muone tripoo CCC atakachowafanya
 
Kiungo mwenye spidi ya konokono ambaye hucheza vizuri akikutana na vitimu vidogo. Pale anapokutana na timu zinazo eleweka uwa hajulikani kama yupo uwanjani.
Hakika! Akicheza na timu kubwa, dakika ya 55 tu kocha hulazimika kumtoa nje ili kuiokoa timu na dhahama ya kufungwa magoli mengi!
 
Uzuri makolo mkifungwa au mkitoka sare sifa zote hizo hupotea na kugeuka matusi! Mkifungwa kila mchezaji na kiongozi ni mbaya! Nasubiri ya Galaxy yajirudie ili tusifu zaidi.....
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
 
mayele anataakiwa arudushwe Congo mpaka azaliwe mkabaji mzuri maana mpaka sasa hajazaliwa wakumkaba.

alafu hatujamtuma apige hati tiriki watanzania tuna ukarimu kupiga mgeni kipigo cha mbwa koko sio kaliba yetu.
kwaniaba ya watanzania wazalendo tunamuomba mayele aache ukattili hautamfikisha popote.

na aache uzalilishaji wakutesa wenzake waone Mpira ni uzalilishaji Aishi manula Aishi kwa amani akisikia jina la mayele..
Halafu mwisho wa siku unakumbuka Mayele hana chochote alichofanikiwa binafsi kwenye mpira.
 
Back
Top Bottom