Kweli ndio Huyu bwana 😂😂kuna siku nilikua kwa daladala mbeya waliweka Nyimbo yake anagalagala kwenye matope.Aliwekwa ndani bado hasikii
Ee, kwenye wimbo wa Nuhu nifungulie mlango niingieKweli ndio Huyu bwana 😂😂kuna siku nilikua kwa daladala mbeya waliweka Nyimbo yake anagalagala kwenye matope.
Wacha ni mtazame tenaEe, kwenye wimbo wa Nuhu nifungulie mlango niingie
Mwamba huyu hapa,mbeya tuna sound za kipekee sana 📌Ee, kwenye wimbo wa Nuhu nifungulie mlango niingie
Tz ipi hiyoUmeme Unit moja kwa Tsh 50 Oyeeeeeee!!
Hii comment imenichekesha! Nikaimagine ulivyokuwa unaiandikaAliwekwa ndani bado hasikii
Ya Mama Kizimkazi na hapa ipo.Tz ipi hiyo
Utakuwa ndotoni wewe hebu amka.Ya Mama Kizimkazi na hapa ipo.
Anaongea ukweli,kwa Nini uchaguzi upite?
Duuh!! Anagalagala kama Embarambamba wa Kenya 🤣Kweli ndio Huyu bwana 😂😂kuna siku nilikua kwa daladala mbeya waliweka Nyimbo yake anagalagala kwenye matope.
🤣🤣🤣🤣Hii comment imenichekesha! Nikaimagine ulivyokuwa unaiandika