Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Aisee nimecheka balaa😂😂😂Jamaa kauzu sana eti kopa ila ukija nitakupa zaidi, dada akajua huyu anataka akanigegede kabla jua halijazama. Nimecheka sana aisee, na hawa madada mapema mapema unaanza kutangaza njaa yani hata hatujamaliza mwezi ushaanza nitangazia shida haki.
Hahahahahah haya mahusiano ya Paypal 😅😅😅😅 yametamalaki aisee! Demu njaa kama huyu aniepukie mbali shenzi typw!Mahusiano ya kuombana pesa sijui watz mmelogwa nayo?
Kishika uchumba wanakiomba mapema kabisa😅Wewe nahisi utakuwa mhenga kama mimi ndio maana ukashtukia mchezo,sisi enzi zetu unaombwa hela baadaye kabisa huko,ila siku hizi kabla ya chochote lazima utangulize hela...
Alisoma alama za nyakati😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angeenda angeambulia 5000 ya nauli na mitiii
Mtoto katikiza kibubu kama Kina mawe au masile sile 😅 dogo kapoteza point 3 kizembe mnoToa 10k hiyo ili uaminike Mkuu
Kama unatongoza au lazima ukumbane nao kakaHahahahahah haya mahusiano ya Paypal 😅😅😅😅 yametamalaki aisee! Demu njaa kama huyu aniepukie mbali shenzi typw!
Mi naangalia na mtu wa kutongoza sio kila mtu tu unamtongozaKama unatongoza au lazima ukumbane nao kaka
Hii ni useless point kabisa🤣🤣🤣 kwahiyo kwa akili zako unahisi hapo utakuwa umekwepa kizinga🤣🤣🤣Mi naangalia na mtu wa kutongoza sio kila mtu tu unamtongoza
Sijawahi kupigwa mzinga na demu baada ya kumtongoza!Hii ni useless point kabisa🤣🤣🤣 kwahiyo kwa akili zako unahisi hapo utakuwa umekwepa kizinga🤣🤣🤣
Ebu soma hapa vzr kakaNakumbuka siku moja nilikuwa na jamaa yangu flani tukaingia ofisi flani tukamkuta mdada mrembo anaonekana ana vijisenti basi jamaa yangu akachukua namba yake na dada alianza mshobokea kisa jamaa eti foreigner madada na maforeigner sijui waliwapa nini.
Wakaexchange namba jamaa akawa anjisifia huyu dada ana kazi yake anaonekana ana hadhi yake ndo madada wa kutoka nao. Haikupita siku mbili eti jamaa anaambiwa atoe laki 3 sijui kwa ajili ya bday ya mama yake huyo dada, jamaa akamchana bila kupepesa macho kuwa yani siku ya tatu ashaanza kutangaza njaa kama anajiuza aseme.
Unatumia njia gani kukwepa vizinga au wewe ni mchafu sana mkuu kiasi ambacho hata dem anaona kazi kukupiga mzingaSijawahi kupigwa mzinga na demu baada ya kumtongoza!
Wewe nae mshamba kweli , yaani elfu kumi unashindwa mtumia !! Huyo alikua anakupima tu ungemtumia hiyo ten angekuja endelea kupiga nyeto boya wewe.. wewe utakua mwanafunzi Nathaniel au ndo umemaliza shuleHahaha....
Afternoon is good from this comment
Dogo kayumba mi ningeitoa tu sadakaWewe nae mshamba kweli , yaani elfu kumi unashindwa mtumia !! Huyo alikua anakupima tu ungemtumia hiyo ten angekuja endelea kupiga nyeto boya wewe.. wewe utakua mwanafunzi Nathaniel au ndo umemaliza shule
Are sure?[emoji848][emoji848]Sijawahi kupigwa mzinga na demu baada ya kumtongoza!
Mi mwenyewe nimemshangaaAre sure?[emoji848][emoji848]
Au mnajipa maujiko humu wanaume
Kama wewe ni ke na umemshangaa jamaa mimi ni nani nibisheAre sure?[emoji848][emoji848]
Au mnajipa maujiko humu wanaume
Ha hahaMi mwenyewe nimemshangaa
Atusaidie na sisi wengine maana mbususu zimekuwa dili mtaani bila cash upati kituHa haha
Ngoja tusubiri aje tuone atupe maujanja[emoji1787][emoji1787]
Sikushikii panga wala, you are free to take it or leave it ila haijawahi tokea! Ukiwa mtu wa kushobokea kila pisi lazma ukumbane na zahama😂Are sure?[emoji848][emoji848]
Au mnajipa maujiko humu wanaume