ππππJuzi nilikuwa kwenye hafla fulani kuna bidada alinichangamkia sana muda wa bufee, akanichukulia chakula nikaishia kumshukuru tu, alikuwa na mwamba fulani nikaona nisijejichanganya nikaishia kupostiwa na mishumaa kama Intelligent businessman
Mtu wa Dar, kule vitamin vina pikwa Asubuhi na jioni tena jioni vinapikwa na Wanaume. Asubuhi vinapikwa na wa Mama.wewe ni mtu wa wapi unakula vitumbua na maji?
Huku kwetu wakati wa safari tunabeba karanga za kuchemsha na viazi vitamu au mihogo.Mtu wa Dar, kule vitamin vina pikwa Asubuhi na jioni tena jioni vinapikwa na Wanaume. Asubuhi vinapikwa na wa Mama.
Yan kaka unaonewa huruma af wew unadindisha....Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Usukumani chips inaweza kuwa ni mboga ya kula na ugali.CHAI
anyway, hivi chipsi ni chakula!
Muda wa kuondoka nilimzingatia ila yule mwamba alikuwa karibu muda wote. Ila ni uvivu wangu tu wa kuogopa ugomvi πππππ
ni bora hukujichanganya maana wabongo wengi kitu cha kwanza kwenye akili yao ni ngono..! wanaiwaza muda wote wanaweza damka nayo hata alfajiri kuipa kipaumbele...!!
HahahaMuda wa kuondoka nilimzingatia ila yule mwamba alikuwa karibu muda wote. Ila ni uvivu wangu tu wa kuogopa ugomvi π
Ila wanaonichangamkiaga tukijenga ukaribu mwisho huwa ni kwenye ngono. Haka katabia nakakataa kabisa hasa huko migahawani hali si hali.
Muonekano wangu n wakawaida sanaHahaha
basi kuna namna na muonekano wako..!! unaweza niambia kidogo kuuhusu tafadhali..!!
Kmmk πDah nimefarijika kutambua kumbe JF sio.mimi.peke yangu maskini,
Oyaaa ππππTumeshazoea wanawake watanzania ni ngumu kutoa pesa kwa mtu ambae siyo ndugu yake, wenyewe wameshazoea kupokea, ila wakushakua watu wazima na kupata watoto ndiyo wanakua na Moyo wakutoa na kusaidia kwasababu hisia zao zinawapeleka kuona ni watoto wao.
Kmmk ππWapo ila ni wachache sana,
Najiuliza mleta mada baada ya kupewa Chipsi na Kuku,aliendelea kula vitumbua vyake au aliviacha ili iwe Dinner huko aendako?
ππππAu alikua anaenda kuchukua talaka yake aliyoisahau kabatini kama ushaidi wa kesi iliyoko Dar asidhulumiwe nyumba na mke wake
Hapana isiishe bureKakuonea huruma tyuh, uache kula vitumbua na Maji, ujilie hizo chips alizokupa. Lol
Tafuta hela kijana, safarini siyo sehemu ya kula vitumbua na maji, pia panda gari zinazoeleweka na siyo kukatia ticketing mlangoni na kukosa siti, mambo ya kizamani hayo kupanda gari za hadhi ya chini.Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Kumbe wazee mpo humu mnatuchora tu vijana wenuUwe unatoa salamu kwangu,kama 2004 uko form 5'wakati Mimi Niko kazini Kwa five years