Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Know the right time to walk away laasivyo utajikuta unaangukia pua...you still have a life to live mkuu and huwezi jua uwenda hakua chaguo sahihi kwako Mungu amekuepusha.
Kwa stage niliofika nipo tayari kumkosa ila kama ni kukosa tukose wote sitakubali kuwa mjinga
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Mkuu acha kutuaibisha wanaume....yani umhudumie mtu bila makubaliano yoyote mda wote huo? Mbona unaweza ukaibiwa nyumba huku umelala ndani.
 
Dogo mbona una akili za kitoto hivyo, yaani pamoja na kusoma shule unaonekana bado hujaelimika tu....si kila demu unayemtongoza lazima akukubali, kama hauna mvuto je, unataka akukubali tu kwa kigezo kipi sasa?
 
Mkuu wakati mwingine kama uatafuta mtu wa kufuture nae hutakiwi kuwa na haraka uvumilivu huhitajika ni vile kwa sasa uvumilivu umenishinda ni mwendo wa kumlipua na zongo
 
Dogo mbona una akili za kitoto hivyo, yaani pamoja na kusoma shule unaonekana bado hujaelimika tu....si kila demu unayemtongoza lazima akukubali, kama hauna mvuto je, unataka akukubali tu kwa kigezo kipi sasa?
Kama anahitaji mvuto amuone haszu
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Nikwambie kitu miti Huwa inazungumza zipo formula na nilikuaga najua dawa za kupata wanawake.

Kuna brother mmoja ametembea sana mpaka Kongo yeye alinifundisha dawa moja..

Dawa ni ya poda poda unajipaka kwenye kiganja unaweza ku mix hata kwenye kikopo cha mafuta.

Unatakiwa umpe mkono mtu unae mtarajia huyo mdada mshikane mikono au UMGUSE SEHEMU YEYOTE kue na contact ya mkono wako na ngoziii iwe mkono au mwilini kumgusa.

Mzee dawa unafanya kazi aisee utakula sana wanawake hii inapendeza kwa watu wa "HIT & RUN" ila kwa mtu ambae ni wamaisha MAPENZI YA DAWA hayanaga mwisho mzurii mta break 💔 up bila kujua chanzo Ni nini.

HITIMISHO
Jifunzeni kutii rejection jifundishe ku LET IT GO...
Maisha yana mengi sana ila MAPENZI YA DAWA hayanaga mwisho mzurii kabisa 💯 wewe si unampenda ila atakuumiza wakati mna familia na watoto mwache aende tafuta mwanamke anae kupenda kukutii na kukujarii
 
2025 hii mkuu bado unahangaika na mapenzi??😂😂..aya njoo dm nikuuzie dawa ya mvuto
 
Unamjua hata sura halisi mkuu, tuanzie hapo

Fullstop, kwishaaaaaa
 
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Hii njia sio Chali wangu ukitaka kumpata kirahisi huyo endelea na urafiki nae kama kawa. Lakini tafuta mwanamke hapohapo shule mzuri kuliko yeye au hata mwanamke nje ya shule lakini awe mzuri.

Akikuona nae hapo ataingiwa na wivu huo wivu ndio utakao mfanya umkule kirahisi sana. Kuwa na akili za kisomi Chali wangu sasa unakwenda kwa mganga alie ishia la Saba ndio akufanyie umkule huyo mrembo?.
 
Back
Top Bottom