Kwa stage niliofika nipo tayari kumkosa ila kama ni kukosa tukose wote sitakubali kuwa mjingaKnow the right time to walk away laasivyo utajikuta unaangukia pua...you still have a life to live mkuu and huwezi jua uwenda hakua chaguo sahihi kwako Mungu amekuepusha.
Then continue simpingKwahiyo kula vyangu ni halali ila kumroga ni haram huu ushauri ni void
Mkuu acha kutuaibisha wanaume....yani umhudumie mtu bila makubaliano yoyote mda wote huo? Mbona unaweza ukaibiwa nyumba huku umelala ndani.Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Dogo mbona una akili za kitoto hivyo, yaani pamoja na kusoma shule unaonekana bado hujaelimika tu....si kila demu unayemtongoza lazima akukubali, kama hauna mvuto je, unataka akukubali tu kwa kigezo kipi sasa?Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Mkuu wakati mwingine kama uatafuta mtu wa kufuture nae hutakiwi kuwa na haraka uvumilivu huhitajika ni vile kwa sasa uvumilivu umenishinda ni mwendo wa kumlipua na zongoMkuu acha kutuaibisha wanaume....yani umhudumie mtu bila makubaliano yoyote mda wote huo? Mbona unaweza ukaibiwa nyumba huku umelala ndani.
Kama anahitaji mvuto amuone haszuDogo mbona una akili za kitoto hivyo, yaani pamoja na kusoma shule unaonekana bado hujaelimika tu....si kila demu unayemtongoza lazima akukubali, kama hauna mvuto je, unataka akukubali tu kwa kigezo kipi sasa?
Sijawahi kumvuta mtu kimapenzi.Usemayo ni kweli? Ulishawahi kumroga mtu dawa ikakosa nguvu kufanya kazi?
Nikwambie kitu miti Huwa inazungumza zipo formula na nilikuaga najua dawa za kupata wanawake.Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Hii njia sio Chali wangu ukitaka kumpata kirahisi huyo endelea na urafiki nae kama kawa. Lakini tafuta mwanamke hapohapo shule mzuri kuliko yeye au hata mwanamke nje ya shule lakini awe mzuri.Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way