Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana khaaah.
 
Yaani wewe akili zako ni mungu wako ndo anazijua, kama ulikulia mazingira ya choo Cha kusubiliana na makopo mlangoni mwa choo sawa. Nyumba hazina celling board jamaa akipiga mechi wapangaji wote wanasikia. Hivyo watoto waliozaliwa mazingira haya kama wewe huwa shida sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu hapana lol.
 
Sasa nikuambie hawezi km ni siri yake hawezi kugundua abadani, unless muhusika aamue kuonesha wazi, akitaka kuzuia kutojulikana hawezi julikana kamwee.
 
Duuuuh comments za watu sasa lol, mie hoiii hapa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina uhakika wewe utakuwa Ni mzinifu Sana, ninashangaa Sana na Nina wasiwasi kuwa Wenda hata ukawa mpagani,
Nashangaa Sana kumwambia Mdogo wako aanze uzinzi,
Ila Kama hataki nakushauri kuwa waambie hata wazazi wako wote kwa pamoja mumshauri aanze kuzini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…