Mmeanzaa waja, sijui mkoje hata, lolUkimtumia hela ya tuition atakushukuru "tanteee kaka"
Tatizo sio hizo xx pekeyake, tatizo huyo ndugu yako ni ME halafu analeta mambo za ki slay queen.
Msipohusisha Mashoga huwa hamuhisi amani kabisaa? Kazi ipoo.Tena ampige biti sana. Hawa wanafunzi wa siku hizi gesi kweli. Wengi wanaandika kishoga Shiga. Hata humu wamo wengi tu. Neno mpaka,utasikia mbaka. Neno hivi utasikia ivi.
😂😂😂😂 Acha kujistukia kijana.Sasa uchoko umeingiaje hapo jamani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Machoko watakufa wamechoka, khaaah
Wewe unakikubali sana hicho kitu? Ushoga unaukubali sana?. Maana mara zote kwenye tred popote palipoandikwa ushoga unakuwa wa kwanza kufika.Msipohusisha Mashoga huwa hamuhisi amani kabisaa? Kazi ipoo.
Mnapenda sana kuzungumzia hilo. Khaaaah
Ameanza kula vipapaNa akiwa wa kiume?
Nijistukie mie? Au wao wanaopenda kuutaja na kuzungumzia ndo wanahusudu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kujistukia kijana.
Nafikiri haya ulioandika ndo nilipaswa nikuulize wee, ambaye umehusisha ushoga pasipohusika.Wewe unakikubali sana hicho kitu? Ushoga unaukubali sana?. Maana mara zote kwenye tred popote palipoandikwa ushoga unakuwa wa kwanza kufika.
Nikuulize leo wewe shoga?. Unaishi ktk ya ushoga kama USA na umegeuziwa huko?. Una kitu gani na hiki kitu?. Niambie
huo ni mwandiko wa kike sasa je huyo ni mwanaume au mwanamkeSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
hizoo xxx ni ishara ya 0713 umpige stop mwambie sijaelewa andika vizuriSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Kaweka ili wadogo zake wote wengine watakaooba wajue kuwa huo uandishi ni wa kipuuziSIO KILA JAMBO ULIWEKE KATIKA MTANDAO PIA HUO NI UDHAIFU WAKO, IKIWA HUYO NI MDOGO WAKO MREKEBISHE KWA MAANA JUKUMU LA KUMPA MWANAFUNZI ELIMU HUANZIA NYUMBANI , MLEZI ANACHUKUA JUKUMU LA KUMPA ELIMU MTOTO WAKE KABLA YA KWENDA SHULENI, MWALIMU ANA JUKUMU LAKE PIA. HAPO NDIPO WATANZANIA HUFELI KATIKA KUELIMISHA WATOTO NA JAMII HUSIKA.
WEWE KAMA KAKA ANZA KUMREKEBISHA MDOGO WAKO, KWA SABABU NAAMINI KATIKA MTIHANI HATOANDIKA " X " BALI " S " PIA JIFUNZE KUKABILIANA NA MAZINGIRA YA VIJANA HASA KATIKA MABADILIKO YA KIMAISHA YA SASA 2024.
KILA LA KHERI MKUU.
#ROCA FELLA
akikua ataacha ila ni vitu vya kumuelimisha tuSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
# Roca fellaKaweka ili wadogo zake wote wengine watakaooba wajue kuwa huo uandishi ni wa kipuuzi
Mbona inasomeka vizuri ,we wataka aandike Kiswahili fasaha kwani anaomba kaziSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
HaiboiInaboa sana
Amna bna unajistukia tu, maana hilo neno uchoko ni la kawaida sana mtaani.Nijistukie mie? Au wao wanaopenda kuutaja na kuzungumzia ndo wanahusudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini maana ya uchoko? Hata huko kimtaani.Amna bna unajistukia tu, maana hilo neno uchoko ni la kawaida sana mtaani.
Ukifanya ujinga utaambiwa acha uchoko, ila we umechukulia kama tunawananga mashoga.