Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
hahahahaNa wewe kilaza sana... Yaani umeshasahau kipindi kile unanifuata inbox unataka tuwe wapenzi humu JF nikakukatalia ukaamua kumfuata mshana jr? Come on....you should have respect to people who are educated than you. Sometime tunaponyamaza ni sababu we dont wanna spill out the beans.
Kaanzisha timbiwili pasi nakujua mshkali ana aina gani ya silaha...aya mziki huo nenda nao sawa nn kimekufanya umchane kamanda kama ni domo zege? Je kama kuna kipotabo ndo ilikuwa ndo target yake hapo mlipo au yy si muumini wa wezele ndo maana akaunyuti.Acha panick madam, kwani kutongozana kama mtu umempenda kunaenda kinyume na maadili jamani?
Me binafs mwanamke akintongoza ntampenda kuliko nnayetafuta mwenyewe, maana najua hapo kuna upendo wa kweli.
Sasa hili la kusema umentongoza wala lisikujaze ghadhabu.
Hilo kakupiga nalo kukudhoofisha kama silaha yake ya kukunyamazisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiiWewe naye kumbe mbeya ndiyo maan nakunyimaga namba pm mxeeew ushindwe.
Nyete alitafuna bhana naakatokomea kusiko julikananyete ndo alikula michango?
Kama hana kipara na mtu wa miraba minne jua sio yeye...
haki ya asiliWrite your reply...Nyie huwa mnawaza kutongozwa muda wote Dah. Labda haujamvutia.
Kwa Research ndogo niliyoifanya watu walio active na waongeaji sana humu JF wengi wao ni wakimya katika maisha halisi.
Kwahyo ulimwomba namba?Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.
Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye nilipofika sehemu husika pia kutokana na mambo ya usalama nikapoteza dk 5 tena kwenye entrance.
Nmeingia ndani haraka nikaangaza macho nikaona nisipite mbele sababu ya haya maumbo yetu wengine tunanyanyasika kijinsia.
Nikamwona kaka mmoja mtanashati amekaa ametulia sana pembeni yake kiti hakina mtu.nikavutiwa na utulivu wake na kwenda kukaa naye.nlimsalimia akajibu pasipo hata kuntizama.nlikwazika kidogo.
Aliyekuwa anaongea alipomaliza akataka tulioingia late tujitambulishe ...nikasimama nikajitambulisha hapo ndo nikaona huyu kaka sas anaanza kuntizama kwa chati.
Nikimtizama anakwepa...then tena anarudisha macho yake kuntizama.kwa kuibia....baadaye akashika simu na kuingia JF. Hapo ndo nlishtuka.... Jamani leo nmekutana na GuDume kidogo nicheke...nikajizuia.
Nikasema nitamwona kama anaweza hata kuniimbisha maana ni wazi alikuwa ananitizama kwa kuibia.nmekuja msemesha kuhusu agenda kadhaa ana aibu ,hawezi hata nikazia macho...anaongea anatizama chini na pembeni. Gudume ana aibu...khaaaah??? Nmeshangaa... Mpaka tunaagana hajui kama mimi niliyekaa naye pale ni mimi.
Nmechukua namba yake ya simu akibisha tu namtext... Inawezekana siku nikakutana na GENTAMYCINE akaanza kuuma uma vidole... Au Mshana Jr akawa anatafuna kucha kwa aibu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ungekataa kama sio ww mwanamke anakutia kasoro eti unajiumauma vidole tena mototo wakike kakufata eti unangalia chini kwaibu unatuangusha badiliaha jina mzee baba
Mpka kesho asubuhi njoo hesabu comments za huu uzi halafu kahesabu na za ule uzi wa "tanzania kukubali ombi la kuiuzia kenya tani milioni moja za mahindi" halafu uje kuleta mrejesho.
Haya mlowahi kutongozwa na huyu Bidada ni wakati wenu kuleta ushahidi,mmepewa go-ahead....Kama nimeshawahi kutongoza member yeyote pm aseme sitak kuchafuliana hapa aanzishe Uzi mwingine kesii zituangukie kina sieeeee
Yale yale yakina bird J[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Izo harakati za maana ndo utupe idea bro. mana zetu naona hazina mana sijui tunafeli wapi?.Acha tuendelee kujichanga na kina zero IQPoleni sana. Sijui why mnapata shida this much. Watu tuna harakati za maana za maisha ndo maana hata JF tunaonekana kwa nadra sana. So endeleeni kuamini hivyo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]