GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Haya GENTAMYCINE nawaomba wale Watetezi Chawa Mambumbumbu (WCM) mniambie je, Kisheria (hasa kwa Sheria za Utumishi wa Umma) na katika Katiba pia ya nchi inaruhusiwa kwa Mfanyakazi wa Serikali (tena kutoka TRA) kusema alichokisema huyu Meneja TRA Mkoa wa Tanga? Na kama inaruhisiwa kwa Sheria za Utumishi wa Umma mbona hakuwasifia pia CHADEMA kwa Kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA Taifa na ACT pia?