Mansakankani mussa
Senior Member
- Feb 13, 2021
- 156
- 196
Nisome nini, hiyo ni picha tu.
Ni Mfalme, unamtaka akuheshimu wewe fukara ombaomba?
Muongo, mume wa Kairuki ni balozi Togolani mavula.Duuh kumbe jamaa ndio anamiliki Ile Mali? Hongera zake.
Mbelwa ndo mme wa waziri wetu wa utaliiNi mgonjwa SI ulisikia ana cancer?
Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Kumbuka ni mfalme na Yuko ndani ya himaya yakeView attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Una fikra za kimasikini.Nisome nini, hiyo ni picha tu.
Ni Mfalme, unamtaka akuheshimu wewe fukara ombaomba?
AiseeeUfalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Harry ikitokea Trump akashinda sijui atakimbilia wapi maana Trump kasharopoka kuwa akishinda tuu anamtimua kwa kuficha taarifa zake za kutumia unga na bangi.Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.
Sasa mbususu anaila wakati gani,na zile tetesi za Jiwe kuchovya na kuibuka na kichanga zina ukweli ganiDuuh kumbe jamaa ndio anamiliki Ile Mali? Hongera zake.
Mr and MrsNi mgonjwa SI ulisikia ana cancer?
Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Isije ikawa huo mkono wa Kushoto ndio ulieathirika na matibabu/mionzi ya kutibu saratani.View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Ukapimwe akili.Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth
Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.
Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.
Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.
Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Mamayako ndie akapimwe akili. Kama hujui dynamics usiwe unakurupuka. quoma wewe.Ukapimwe akili.
Hongera sana, unawajua familia yote ya kifalme na tabia zao!Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.