Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Nisome nini, hiyo ni picha tu.

Ni Mfalme, unamtaka akuheshimu wewe fukara ombaomba?
Una fikra za kimasikini.
Na unaonekana muabudu watu wenye pesa.
Acha ufala huyo ni kiongozi muwakilishi wa Tanzania huko Uingereza,anapaswa apewe heshima ya kidiplomasia.
Inazungumziwa heshima/ Respect sio unyenyekevu /Obedience.
Tofautisha Respect na obedience.
 
Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.
Harry ikitokea Trump akashinda sijui atakimbilia wapi maana Trump kasharopoka kuwa akishinda tuu anamtimua kwa kuficha taarifa zake za kutumia unga na bangi.
 
Msichokielewa, hati inapokelewa kwa mkono wa kushoto halafu wa kulia unasubiri kushikana mkono, au mlitaka apokee kwa kulia halafu washikane kwa kushoto?
 
Ningekuwa ndiyo mimi hapo, aisee ningempiga ngwala aanguke chini. Maana ameipokea hiyo hati kwa dharau sana hata kama angekuwa anatumia mashoto.
 
Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Ukapimwe akili.
 
Ukapimwe akili.
Mamayako ndie akapimwe akili. Kama hujui dynamics usiwe unakurupuka. quoma wewe.

Nenda kasome ujiridhie. Hamtaki ukweli mnaenda kutupigia sarakasi za siasa na porojo.

Again mamayako akapimwe hiyo akili manake kuachia fuvu kama lako kutoka mule ni janga kwa Taifa hili. Quama wewe.
 
> When you burn down old one, new thing grow up.
hiyo signature imenifanya nivutiwe nayo
 
Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.
Hongera sana, unawajua familia yote ya kifalme na tabia zao!
Bila shaka unawajua na familia za viongozi wetu na tabia zao.
 
Back
Top Bottom