Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

mbona ni mambo ya kawaida tu ayo kwan uku bongo ni wangap unampa kitu anakupokelea kwa mkono shoto?
 
mnaomba katiba kwa colonizer, bila kujua katiba mbovu inawabeba hao mabepari kupitia vibaraka wao
 
Mbona unashindwa kuwa mbunifu hadi kwenye kutukana?
 
Kumbe bado tuko chini ya mkoloni mpaka tumuombe ruhusa? Sikulijua hilo!
 
Hapa ni swala la utofauti wa utamaduni.!
 
Mbona unashindwa kuwa mbunifu hadi kwenye kutukana?
Iwe wazi kwako na wengine kama wewe. Ukiingia kwenye kumi na nane za kukosa heshima. Narudisha nguvu zile zile! You entered the realm of disrespect.

Ulishindwa nini kukubali au kukataa dhana yangu?

Umechagua kunishambulia na kunikera kwa makusudi kabisa.

That is what you get, I will respond in kind to anybody doubling the disrespect, kwa sababu umeamua kuacha kanuni zote za mjadala na majadiliano. Wewe quoma hujaanza leo, narudia UKOME nakwambia tena ukome na ushike adabu. I will return the disrespect sevenfold. Uwe na heshima, kama huna jipitie-it:s as simple as that.

Ushindwe.
 
You really have a calling in BROKEN English.
 
Hii unaweza kuthibitisha?
 
Kumbe bado tuko chini ya mkoloni mpaka tumuombe ruhusa? Sikulijua hilo!
Uwepo wetu kwenye huu Umoja ni lazima ukubali kumtii Mfalme. "Declaring allegiance"

Kuwemo kwenye mfumo huu pamoja na kwamba wanatumia lugha ya 'ku volunteer' kuwepo ndani yake, haiondoi ukweli tunakubali kwamba yeye ndie Mfalme na tunakubali kuwa watiifu na waaminifu na kuwa tuna muunga mkono.

Labda nisingetumia neno Ruksa, ningesema ridhaa perhaps.
Ndio hivyo ishatoka hiyo
 
Hii unaweza kuthibitisha?
Naweza, lakini inahitaji na wewe mwenyewe ukatufute vyanzo. Kwa kuanzia the commonwealth charter Wikipedia, the balfour declaration of 1926, the statue of wesminater 1931, The London Declaration....and so forth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…