Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Aisee namna nzuri ya kumsaidia mtu ni kumnunulia godoro, net na kumlipia kodi ya miezi 3 full stop, wabongo hatuna ustaarabu na kujisahau kwingi, usipokaa sawa hapo atamaliza mwaka na hana shughuli ya kufanya.
 
Ila Kuna washikaji hawaja wahi kuwa na akili Kuna huyo mmoja alikua mchafu hatari alikua akivua viatu utafurahia hiyo harufu, jamaa amekuja Hana hata taulo eti anataka tushee taulo hapo ndio nilimchoka kwa Kasi ya 6g.... Na siku alio nimaliza kabisa Kuna viatu ni vya mtoko niliganyagia kwa sabubu marapa ya kushindia palee nyumbani alikua kayavaa yeye....Basi jamaa akaona Basi siku narudi kutoka job namkuta mwana katoka kuzurula kavikanyagia vile vile [emoji33][emoji33] Kama umewahi sikia zile hasira za kuvimba shingo ndio zilinipata aisee....yule jamaa alikaa wiki ila niliona mwaka ...kifupi tangia utotoni sijawahi Shea kitanda na mwanaume mwenzangu Hadi ukubwani lkn mwana ndio alikua wa kwanza kulala nae maishani mwangu alafu utakuta mtu umejitenga kwenye ncha ya kitanda 5*6 yaani umemuachia yeye lkn anakufata Hadi ulipo lala wewe[emoji38][emoji38][emoji38] ile wiki nikiteseka Sana
 
Wewe ndio fala,....mtu anajielewa hawezi hata kupiga story na mtu wa namna hiyo achilia tu mbali kua mgeni wake
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukute anatabia ya kuota mademu zake
Anaanza kukushika shika unaweza tia mtu kofi usingizini akizinduka unasingizia wachawi
 
Mimi College mate wangu alipata kazi Akatoka huko mikoani na Kuja Mjini, Nawajua waswahili walivo Nikamuweka Guest siku tatu huku nikimpa kazi ya kutafuta Chumba alitafuta akapata nika Clear Kodi ya Miezi mitatu, Nilikuwa na mtungi mdogo wa Gesi ambao siutumii vyombo kadhaa nkamchukulia na kagodoro kama ka shule sikuwa kulala nae yule jamaa hata siku
 
Hii habari inahusianajee na hili group?
 
Fukuza hiyo mbuzi haraka sana.
 
Ungepigwa kipara ndio ungepata akili.
 
Pole
Ndio maisha yetu hayo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukute anatabia ya kuota mademu zake
Anaanza kukushika shika unaweza tia mtu kofi usingizini akizinduka unasingizia wachawi
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…