Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Mnalala kitanda kimoja? Mkuu fukuza huyo mtu. Mimi kuna kijana mmoja aliomba aje afikie kwangu sijui kaitwa aje kufanya interview nikamkaribisha nikaona mwezi wa 1 unakatika bila ya umeme ikapanda na units za Dawasa zikawa juu. Hana msaada afyeki nje wala kusafisha nyumba. Nikamuita siku moja nikamwambia umekuja kutafuta kazi ama kufanyakazi. Kesho naomba uondoke. Sipendi ujinga
 
Mtoa mada umenikumbusha mazungumzo fulani redioni juzi juzi. Eti jamaa anashinda ndani tu anaangalia tv. Akiulizwa ana mpango gani wa maisha anasema " kuna mchongo fulani nausikilizia"
Je ukibuma? Badala ya kutafuta plan B anaagalia tv tu.
 
Mapatie kaburu mbili kesho anaaga
 
Mpaka shule zifunguliwe tutakuwa tumeona mengi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza, hizo pombe zilizopo hapo ndani akizimaliza zote usinunue tena.
Atakua anakunywa siku ukiamua kumnunulia.

Pili, wewe uwe unakula mtaani ukija ni kulala tu usithubu kumpikia, mpaka atapata akili ya kuanza kujipikia.

Tatu, kesho asubuhi ukiwa unatoka muambie "Bro ukiamka naomba unisaidie kutandika kitanda"

Nne, ukiwa unapiga naye story uwe unamuuliza mara kwa mara updates za hiyo mitikasi anayofukuzia na ikiwezekana umshauri namna bora ya kufukuzia hiyo mitakasi iliyomsababisha aje mjini.
 
Mimi huwa sipokei mtu mjini kwa sababu hiyo tu.Ili nimpokee basi lazima ama awe ndugu wa karibu ambaye namfahamu vizuri au kama ni mshkaji pia niwe namfahamu.Wakati nikiwa bwa mdogo sana nilijaribu kusaidia baadhi ya washakji ila wengi walikuwa na stress na mimi kwa kautokujua nikajikuta nakua sehemu ya stress zao.

All in all kama umeamua kumsaidia basi msaidie
 
Si uache kuleta hiyo mipombe? umejaza mipombe mwenyewe halafu unamlalamikia kwamba analala sana,si analala amelewa sana.badala yake jaza Juice za bakressa na mboga mboga humo kwenye fridge.by the way wewe umemlostisha maana alipofika ilimwambia "feel at home bro"
 
[emoji2][emoji2]mkuu hata mi nilipata mgeni ambaye nlisomaga nae chuo nae ana pigo kama za huyo jamaa yako huyu wangu ubrazamen mwingi,ila nashukuru kasepa
 
🤣🤣🤣
 

Au alitaka akutatue marinda kimasihara [emoji28][emoji28][emoji1544]yaani anakufata kwa kasi kiasi hicho [emoji276]
 
Niambie mm matatizo yangu...Siwezi kubadilika ukiwaambia wanajamii forum...
 
Kuna jamaa mmoja huyo nilimkaribisha kwangu kutoka huko Bush kwetu mpaka ilinibidi nimpangishie tu kwake,alikuwa na tabia za ajabu sijawahi kuona,kwanza janaume zima mpaka leo eti bado linavaa chupi badala ya boxer,usiku linavua nguo zote linabaki na chupi tu eti linalala hivyo hivyo linasingizia joto.nikaona isiwe tabu,nikalitafutia ghetto mahali na kitanda,saivi limeoa na akili zimekaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…