Kununua tractor inawezekana sana au hamuoni ndinga anazomiliki abdalla nyieAu alimaanisha atanunua tractor kwa gharama ya shilingi milioni 10,
Vinginevyo hata rais anamshangaa😅
Aende kule kaskazini akaseme haya mambo uone kitakachotokeaNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Huenda ni mpango wa 50yrs ahead muda utaongea ama akina Tlaaa watupe ufafanuziNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Kwani tractor moja ni sawa na baiskeli afu ngapi vileee?anaweza mbona pikipiki na baiskeli kagawa bure
Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Mkuu angalia kwanza tathmini ya bei yake , tractor milioni 10 kwa rate ndogo usd12,000 kwa exchange rate 2,500 ni bajeti kubwa ya nchi kabisa mkuu , inafikirishaKununua tractor inawezekana sana au hamuoni ndinga anazomiliki abdalla nyie
Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Yani kila watanzania sita, mmoja atakuwa anamiliki trekta.... Hatari sanaNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Inawezekana ulimi umeteleza. Hata hivyo hahitaji kutoa maelezo yoote na kujaribu kuomba kura kwa watu wasiomtaka. Ni bora hata angejiongezea muda kwa kisingizio cha katiba mpya. Aandike Katiba miaka 03 aondoke kwa heshima. Lakini watu wasiokutaka utawaongozaje?Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
K Vant tu hiyo asamehewe.Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
🤣 🤣 🤣 🔊Kwani nyinyi sio wapumbavu ?