Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kwani bei ya trekta ni shilingi ngapi! Yeye alikuta mahali wanauza trekta milioni kumi na anazo hizo hela, kwanini ashindwe Kununua?!Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
abradakabra.