SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Hamna kitu cha bure.anaweza mbona pikipiki na baiskeli kagawa bure
Hamna kitu cha bure.anaweza mbona pikipiki na baiskeli kagawa bure
Kiwanda kinahitaji mambo 3,1: area for investment,mkiambiwa ondokeni mpishe uwekezaji mna lalamika 2:rawmatilial,hapa hamudili na uzalishaji kutwaa ni kushinda vijiweni kujadili watawala!3: market,hapa hakuna shaka masoko yapo!
Tractor milioni 10 kwwnye nchi ya watu milioni 70.Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Alisema Form Four hakufanya vizuri hesabu zinampiga chenga huoni hapo kababatiza elfu kumi, milioni kumi.Alianza kwa kusema "Matrekta elfu 10", sijui akili yake ikamtuma nini? Akaruka mpaka "Matrekta Milioni 10".
Kwani "Elfu 20, 30, 40, 50 nk" hakuziona? Basi hata " Matrekta Laki Moja, au Milioni Moja, au Milioni 2".
View attachment 3460473
Ukiona mtu ana mwili na macho makubwa ujue kichwani hana kituNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030.
Uzalishaji wa hayo matrekra dunia nzima kwa miaka 5 haifikii trekta mil 10. Tunadanganywa na wazanzibarNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Kifupi umeelewa,kwa taarifa yako; Afrika hakuna wasomi!usomi wa Afrika ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha kama unabisha mwambie profesa wa uchukuzi wa Afrika atengeneze kachombo kokote ka usafiri wa anga akarushe walau km 1.Hahaha mbona "rawmatilial"
La ngapi wewe baba?😀
Aina hii ya watu ni Ile aliyosemaga Dk. Didas Masaburi, sijui wanafikiri kwa kutumia cjui niniNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
alikosea kutamka ila lengo ni elfu 10Tractor milioni 10 kwwnye nchi ya watu milioni 70.
Maana yake kila watu 7 wana tractor lao.
That is not even an exonomic use of tractors.
Fikiria pale Dar es salaam kila mkazi kwenye familia ya watu 7 awe na tractor lake, patakalika?
Haya basi, Dar es salaam wengi hawalimi, matrekta ya Dar tuwagawie vijijini.
Dar es salaam kuna kama 10% ya population. Ondoa trekta moja la Dar wape watu wa vijijini. Ondoa matrekta ya sehemu nyingine mijini wape watu wa vijijini.
Unakuta Karibu kila watu 6 wawe na trekta moja.
How is that economic?
Tutaipita dunia nzima kwa natrekta maana huko wanaongelea matrekta 0.006 per 1,000 people (Rwanda) mpaka 54.2 per 1,000 people (Slovenia).
Sasa mshindi wa dunia kwa data hizi ni Slovwnia mwenye matrwkta 54.2 kwa kila watu 1,000.
Sisi ndiyo tutaweka trekta 1 kwa watu 6?
Hayo ni karibu matrekta 167 kwa watu 1000.
Tutamzidi Slovwnia mshindi wa sasa wa dunia kwa zaidi ya nara tatu?
![]()
Countries Compared by Agriculture > Agricultural machinery > Tractors > Per capita. International Statistics at NationMaster.com
Agricultural machinery refers to the number of wheel and crawler tractors (excluding garden tractors) in use in agriculture at the end of the calendar year specified or during the first quarter of the following year. Per capita figures expressed per 1,000 population.www.nationmaster.com
Kama alikosea kutamka tamko la kusahihisha liko wapi?alikosea kutamka ila lengo ni elfu 10
kukanusha hawajakanusha wala ufafanuzi sidhani kama umeshatoka.Kama alikosea kutamka tamko la kusahihisha liko wapi?
Watu wanategemea matrekta milioni 10 kwa kuwa hiyo ndiyo kauli aliyotoa rais na mpaka sasa haijasahihishwa.
Wasipokanusha ndiyo kashabadilisha namba kutoka elfu 10 mpaka milioni 10.kukanusha hawajakanusha wala ufafanuzi sidhani kama umeshatoka.
maana alitamka elfu 10 alafu akajisahihisha hapo hapo kwamba ni milioni 10 ,
lakini kufuatia taarifa ya mwaka jana lengo lao ni elfu 10.
mombea rais avumiliwe sio mfatiliaji kabisa, kwenye uzinduzi wa ilani wamesema 10k yeye anapeleka 10mil bila kustuka --- muda wa kuongeza mashamba matrekta yapo njianiWasipokanusha ndiyo kashabadilisha namba kutoka elfu 10 mpaka milioni 10.
Innumerate imbecile.
Yuko sahihi kulingana na aina ya watu anawahutubia kwani hajapigiwa makofi hapoNimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers from Post.
Kama anataka kuvumiliwa asigombee urais. Aseme hagombei urais akae nyumbani tutakuwa hatuna sababu ya kumfuatilia.mombea rais avumiliwe sio mfatiliaji kabisa, kwenye uzinduzi wa ilani wamesema 10k yeye anapeleka 10mil bila kustuka --- muda wa kuongeza mashamba matrekta yapo njiani
kwa tulipofika miaka iende fasta fasta tu tufike 2030 --- mbinu za kuzuia kitu kwa sasa hakunaKama anataka kuvumiliwa asigombee urais. Aseme hagombei urais akae nyumbani tutakuwa hatuna sababu ya kumfuatilia.
Ukishaomba kuongoza watu milioni 70 umekubali kuwa under a microscope.
Rais ambaye hajui tofauti ya elfu 10 na milioni 10 mkimchagua kwa kumvumilia halafu akasaini cheki ya dola milioni 10 akifikiri ni elfu 10 utamlalamikia?