Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

Au alimaanisha atanunua tractor kwa gharama ya shilingi milioni 10,

Vinginevyo hata rais anamshangaa😅
Kununua tractor inawezekana sana au hamuoni ndinga anazomiliki abdalla nyie
 
Tuko hapa..
Your browser is not able to play this audio.
 
Aende kule kaskazini akaseme haya mambo uone kitakachotokea
 
Hii ndio raha ya kuwa form four leaver fighting for food for four good years +kadi ya chama cha mafisi. Unaweza sema chochote na asiwepo hata mmoja mwenye akili kukushtua kuwa unamwaga boko tupu.

Hapo kamwaga boko hasa ila ng'ombe wa mama watakuwa wameshangilia kama ile misukule iliyoadiwa kwenda Uingereza na Gwajiboy.
 
Huenda ni mpango wa 50yrs ahead muda utaongea ama akina Tlaaa watupe ufafanuzi
 
Ataweza tu
 
Kununua tractor inawezekana sana au hamuoni ndinga anazomiliki abdalla nyie
Mkuu angalia kwanza tathmini ya bei yake , tractor milioni 10 kwa rate ndogo usd12,000 kwa exchange rate 2,500 ni bajeti kubwa ya nchi kabisa mkuu , inafikirisha
 
Beinya hizo trekta zinalipita deni la taifa
 

Tatizo ni nani anaowaambia hapo mkutanoni , si wewe , Huoni walivyoshangilia ??
 
Yani kila watanzania sita, mmoja atakuwa anamiliki trekta.... Hatari sana
 
Anaweza maana ni bingwa wa mikopo na kuuza migodi
 
Inawezekana ulimi umeteleza. Hata hivyo hahitaji kutoa maelezo yoote na kujaribu kuomba kura kwa watu wasiomtaka. Ni bora hata angejiongezea muda kwa kisingizio cha katiba mpya. Aandike Katiba miaka 03 aondoke kwa heshima. Lakini watu wasiokutaka utawaongozaje?
 
K Vant tu hiyo asamehewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…