Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umemsikia Gerson Msigwa leo 360 Clouds?
Serikali itakufikia
 
Alianza kwa kusema "Matrekta elfu 10", sijui akili yake ikamtuma nini? Akaruka mpaka "Matrekta Milioni 10".

Kwani "Elfu 20, 30, 40, 50 nk" hakuziona? Basi hata " Matrekta Laki Moja, au Milioni Moja, au Milioni 2".

View attachment 3460473
Mwanzo kasema elfu kumi 🀣🀣kaona ndogo kasema million kumi 🀣🀣
 
Mimi mkinichagua mabomba yatatoa maziwa na asali
 
Mkuu angalia kwanza tathmini ya bei yake , tractor milioni 10 kwa rate ndogo usd12,000 kwa exchange rate 2,500 ni bajeti kubwa ya nchi kabisa mkuu , inafikirisha
Ndiyo maana ikaitwa sio hasa(siasa). Na hizi ni campaigns tu, utetezi utakuwa baada ya kuapishwa.

Halafu unawezaje kumwekea calculation mdanganyika. Amekuambia anahitaji kuhoji au kujua lolote ?? Hiyo USD sijui madudu gani, hayamhusu.
 
Huyo mgombea ni kiazi mbatata!
Gharama ya kununua hayo matrekta inaweza kujenga viwanda kumi+ vya hayo matrekta na production ikaendelea...!
 
Watanzania tunachoweza ni kutukanana, kushabikia siasa uchwara na kushangilia mpira basi.

Hayo mengine ya maendeleo sijui mwezini, au maviwanda tuwaachie wazungu.
Hilo sio tatizo la watz ni la Afrika nzima
 
Mkuu asikusumbue. Kwani elimu yake ya Pakistan hauijui?

Kwa mwaka dunia nzima zinatengenezwa tractor 4.6mil. Sasa kwa miaka miwili plus tractor zote duniani zitakuwa zinaletwa Tanzania tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiwanda kinahitaji mambo 3,1: area for investment,mkiambiwa ondokeni mpishe uwekezaji mna lalamika 2:rawmatilial,hapa hamudili na uzalishaji kutwaa ni kushinda vijiweni kujadili watawala!3: market,hapa hakuna shaka masoko yapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…