Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

Kwani bei ya trekta ni shilingi ngapi! Yeye alikuta mahali wanauza trekta milioni kumi na anazo hizo hela, kwanini ashindwe Kununua?!
abradakabra.
 
Mgombea alichapia, lengo au namba sahihi waliyokusudia ni trekta elfu kumi. (10,000)
 
Kwani bei ya trekta ni shilingi ngapi! Yeye alikuta mahali wanauza trekta milioni kumi na anazo hizo hela, kwanini ashindwe Kununua?!
abradakabra.
Tractor la milioni kumi? Labda tiller na hata kama hiyo ndiyo bei yake tilion 100 za kununua trekta nchi hii zipo?
 
Mambo ya kampeni hayo
Za kuambiwa changanya na zako

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…