Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒
Mungu Ibarki Tanzania.