Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
there is no escape root or room for puppets within political parties of this beautiful republic 🐒Kwa tulipo fikia TL akwepeki la msingi we jali maokoto unayopewa maana ni mwaka wa mavuno baada ya hapo njaa itakurudia na utaenda kushinda kibarazani kwake kipindi tumempa cheo cha heshima. Ataitwa Mzee mbowe mshauri wa chama.
Dalili za watu makatili na madikteta hizo.Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
Uhuru umezidi🤔kua huru kutoa yako pia bila lawama 🐒