Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

Nchi hii vilaza wapo wengi ww ni mmoja wao
wenye mihemko, gubu, ghadhabu na makasiriko mko wengi sana, kumbe hadi mabinti?

mbaya zaidi hamna point aise. Jiepusheni na kujitaftia matatizo ya moyo bila sababu ndugu zangu πŸ’
 
Kwa tulipo fikia TL akwepeki la msingi we jali maokoto unayopewa maana ni mwaka wa mavuno baada ya hapo njaa itakurudia na utaenda kushinda kibarazani kwake kipindi tumempa cheo cha heshima. Ataitwa Mzee mbowe mshauri wa chama.
there is no escape root or room for puppets within political parties of this beautiful republic πŸ’
 
Dalili za watu makatili na madikteta hizo.

Huyo hafai ardhini na Mbinguni

View: https://www.instagram.com/p/DEFgcbnKOvE/?igsh=a21sZGp6ZmplODk4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…