Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 635
- 734
Aliiba niniAliiba sana Aisee
Acha wakamle mwangi yake
Aliiba niniAliiba sana Aisee
Acha wakamle mwangi yake
We ni mgeni humu?Aliiba nini
Yana Mwisho ndugu yangu. Nothing Last ForeverVijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.
Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza unajitafuta kimaisha ila kutokana na mambo tu ya kisiasa mmetofautiana unatafuta kesi popote pale ili mradi tu kurudishana kwenye ufukara na kupoteza kabisa malengo ya watu.
Nakumbuka pia enzi za jiwe kuna vijana wengine Tito Magoti na mwenzake walikamatwa wakiwa kwenye boda boda wanaenda kununua Tecno Makumbusho ghafla wanawekwa chini ya ulinzi na kushtakiwa eti ni wahujumu uchumi wakati kwenye akaunti zao hata laki tano walikuwa hawana. Hatimaye wakapotezewa malengo kimaisha na leo wameishia kuwa wakimbizi wa kisiasa.
Haya mambo ya kushtaki vijana kwa makesi makubwa makubwa kisa tu mambo ya siasa kusema kweli hayaja kaa vizuri. Hivi kuna mtanzania ambao siyo mhujumu uchumi? Maana hata kukojoa hadharani au mafichoni eneo lisilo sahihi ni uhujumu uchumi. Kuendesha boda boda sehemu isiyo sahihi ni uhujumu uchumi. Kimsingi wengi wanasaidiwa na ama kukaa tu kimya au uchawa.
Kijana anauza zake mbao huko Mafinga na kucheza forex leo utashangaa atashtakiwa kwa kukausha misitu na kutakatisha fedha kisa tu kaandika No reforms No election? How? Tunajenga nchi ya aina gani kwa kizazi hiki?
Before hajaanza na no reform alianza kujipendekeza kwa gavoo kwanza ghafla akachange upepo akaja na no reform No electionHii nakataa maana alikuwa real sana
Ndiyo aliiba nnWe ni mgeni humu?
Ni hatari sana mkuu,Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.
Unauliza Hujui kua mumeo ni mwizi na tapeli Sasa ameenda kunyea debeAliiba nini
Unalala nae kitanda kimoja kumbeHuyo unaemtetea inaweza kuws humjui vizuri
Sasa wewe fala umetoka mbio na dera bila pichu ndani ,Unauliza Hujui kua mumeo ni mwizi na tapeli Sasa ameenda kunyea debe
Mmeo mwizi kama alikua analeta vinono hapo nyumbani ujue ulikua unakula Mali za wizi Sasa hivi kazungukwa na njemba huko nenda kamtoe umesikia we Mrs sir jeffSasa wewe fala umetoka mbio na dera bila pichu ndani ,
siku nzima unashuapalia mshikaji kuwa matatizoni jifikirie mara mbili kwanini hasa nini kinakudrive
Msnge wewe njoo nikuoe basi naona mkund unakuwasha au sioMmeo mwizi kama alikua analeta vinono hapo nyumbani ujue ulikua unakula Mali za wizi Sasa hivi kazungukwa na njemba huko nenda kamtoe umesikia we Mrs sir jeff
Hasira za nini mama nenda kamtoe mmeo amezungukxq na njemba hukoMsnge wewe njoo nikuoe basi naona naona mkund unakuwasha au sio
Leta huo mkud ndo ujue mimi nani fala wwHasira za nini mama nenda kamtoe mmeo amezungukxq na njemba huko
ONTARIO ameonewa tu maana siku tano zilizopita watu wasiojulikana walianza kumtisha kwa kumwambia siku zake zinahesabika.Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.