Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

Yana Mwisho ndugu yangu. Nothing Last Forever
 
Saa jefu, muhaya kwelikweli 🙌
 
Unauliza Hujui kua mumeo ni mwizi na tapeli Sasa ameenda kunyea debe
Sasa wewe fala umetoka mbio na dera bila pichu ndani ,
siku nzima unashuapalia mshikaji kuwa matatizoni jifikirie mara mbili kwanini hasa nini kinakudrive
 
Sasa wewe fala umetoka mbio na dera bila pichu ndani ,
siku nzima unashuapalia mshikaji kuwa matatizoni jifikirie mara mbili kwanini hasa nini kinakudrive
Mmeo mwizi kama alikua analeta vinono hapo nyumbani ujue ulikua unakula Mali za wizi Sasa hivi kazungukwa na njemba huko nenda kamtoe umesikia we Mrs sir jeff
 
Mmeo mwizi kama alikua analeta vinono hapo nyumbani ujue ulikua unakula Mali za wizi Sasa hivi kazungukwa na njemba huko nenda kamtoe umesikia we Mrs sir jeff
Msnge wewe njoo nikuoe basi naona mkund unakuwasha au sio
 
ONTARIO ameonewa tu maana siku tano zilizopita watu wasiojulikana walianza kumtisha kwa kumwambia siku zake zinahesabika.

CAG kila mwaka anaibua MAJIZI MAHUJUMU uchumi yaliyopiga MABILIONI ya shilingi na hakuna wanafanywa...Mtu ameanzisha somo la elimu ya forex watu wakajaa akapiga pesa then hauwezi kusema amehujumu uchumi maana hakuna mtu aliyeshikiwa bastola kwenda JANGIG PLAZA kusoma.

Free SIr_Jeff aka ONTARIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…